Kulinhana na taratibu za uchaguzi kila mgombea atakuwa na wakala kwa hiyo katika sehemu nyingi kutakuwa na zaidi ya wakala mmoja ambaue atawakilisha wagombea wa vyama ndani ya ukawa labda sehemu chache ambazo ni chadema tupu kwa hiyo uwepo wa wakala zaidi ya mmoja wa ukawa itasaidia pia