Recent content by kibao cha mbuzi

  1. kibao cha mbuzi

    JamiiForums Tanzania Songwe: RC awaomba waliohamishia biashara zao Zambia kwa kushindwa kulipa kodi warejee nchini wazungumze...

    Watalipa gharama za kuhama hama ama mpaka kodi walizolipa huko ziishe!? Vp kama wameenda kukutana na masoko mazuri zaidi ya hapa!? Mkikurupuka mjuege na gharama za matarajio ya matakwa yenu
  2. kibao cha mbuzi

    JamiiForums Tanzania TRA wanakomoa wananchi, hii sio haki

    Jamaa ka'puyanga mpaka mwisho! #mpuyango_OG. Ni mwendo wa kupika data ila hali halisi inatia huruma. Mwendo wa cheo dhamana
  3. kibao cha mbuzi

    JamiiForums Tanzania AJALI, MOROGORO: Mwanajeshi na Mtoto wafariki baada ya Basi la Polisi kugongana na Noah iliyokuwa na Wanajeshi

    Basi ya police ime hama line!? Ama naona vibaya!? Poleni sana #mbwa_kala_mbwa ila jamaa wamelewa madaraka kupitiza ukijumlisha na matukio wanayo yafanya, mh! Tupo pabaya #tarime
  4. kibao cha mbuzi

    JamiiForums Tanzania Sirari: Wananchi wakusanyika kituo cha Polisi baada ya Polisi kudaiwa kumuua mdogo wake John Heche, Suguta Chacha

    Too much! What to do!? Hakuna haja ya kushirikiana na polisi, nikamkuta mahala anashida, nampita akiwa ananiona na kama anakufa, nammalizia,#pumbavu
  5. kibao cha mbuzi

    JamiiForums Tanzania Je, Rais katumia Kanuni au Sheria ipi kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ikiwa Bunge ndio lenye mamlaka hayo?

    Yani! We acha tu! Ila kwa swala la dodoma naona ni shinikizo kwa wanaotoa misaada na wawekezaji pia ni pamoja na kuvutia wawekezaji
  6. kibao cha mbuzi

    JamiiForums Tanzania Je, Rais katumia Kanuni au Sheria ipi kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ikiwa Bunge ndio lenye mamlaka hayo?

    Anaweza, kule kuna traffic lights mpaka vichochoroni
  7. kibao cha mbuzi

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Usilogwe ubanwe na haja ndogo alafu ukojolee hayo majani kwenye fensi
  8. kibao cha mbuzi

    JamiiForums Tanzania Damu inanukia Ubungo External: Makonda, Msaidizi wake na TANROADS wanahusishwa

    Duh! Na taarifa wanazo na wa7bbshi wapo
  9. kibao cha mbuzi

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua

    Sijui ata msaka na yule mhasimu wake mzee wa #kuamsha_dude
  10. kibao cha mbuzi

    JamiiForums Tanzania Damu inanukia Ubungo External: Makonda, Msaidizi wake na TANROADS wanahusishwa

    Utasikia " hatufanyii kazi taarifa za mitandaoni "
  11. kibao cha mbuzi

    JamiiForums Tanzania Ghetto Qura'n na kisa cha 50 Cent kupigwa risasi..

    Ghetto Gospel 2pac huyu 50 akaamua kutoka na qur an ila hii ya 50 cjawahi isikia
  12. kibao cha mbuzi

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Uingereza (EPL) hakuna hata referees mmoja walioteuliwa na FIFA kuchezesha kombe la dunia?

    Wale wamezoea kubet wapo kibiashara zaidi
  13. kibao cha mbuzi

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa wagegedaji: Vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume vishapatikana.

    Inameza hivyo vodonge pamoja na mkongoraa na vumbi la kongo hahaha kama umefunga turbo kwenye bajaji
Back
Top Bottom