Recent content by kibambara

  1. K

    JamiiForums Tanzania Moyo sukuma damu.. RIP Bro

    Aliwekeza mjini alepo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kumpelekea mpenzi wako zawadi ya chup.i.

    Wanavaa kyupi.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mmama/Binti wa kunichua

    Huna mke?
  4. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Power bank for sale

    Haipungui bei mkuu?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Asikuambie mtu! Wahaya ni wazuri...

    Ukweli ni wàzuri ila malàya sana, Sent from my HUAWEI Y530-U051 using JamiiForums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kitu gani mpenzi wako kakufundisha ambacho hukutegemea kutoka kwake?

    Kanifundisha kutumia tigo pesa.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Huku Mkoani tuna balance hivi

    Ugali wa sembe Hamna kitu,tumia Dona mkuu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Utafiti unaonyesha maskari ndio wanaongoza kuoa wanawake magoli kipa

    Ww kaoe watoto wa kishua mkuu,tuachie magoli kipa wetu ndo uwezo na akili zetu zilipoangukia,ila maisha hayana formula unaweza ukaowa msomi mwenzio ugomvi Kila siku nyumba ni,au ukaowa golikipa ukawa vurugu mechi Kila siku mpaka ukajuta,cha muhimu ni kumuomba mungu akupe mke/Mme Bora/mwema.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Utafiti unaonyesha maskari ndio wanaongoza kuoa wanawake magoli kipa

    Achana nao walikuwa wanasubiri baba alale nao walale sebuleni mwenye makochi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Utafiti unaonyesha maskari ndio wanaongoza kuoa wanawake magoli kipa

    Ndo maana nasema nyie kaeni na vyeti vyenu si tunalisongesha,nina wapangaji wawili wanafanya kazi bank,wao ni degree holder lakini mshahara hauzidi laki 8,k ila siku vibomu,pay slip ina matundu kibao ila ukiwaona utadhani wanalipwa pesa ndefu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Utafiti unaonyesha maskari ndio wanaongoza kuoa wanawake magoli kipa

    Hawana hoja,mi nakatwa kodi Kila mwezi tshs 276,543/=ambazo ni mshahara wa mtumishi wa kada zingine.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Utafiti unaonyesha maskari ndio wanaongoza kuoa wanawake magoli kipa

    Nimejiendeleza ndo maana najiamini,anayesema ana degree aweke copy ya salary slip Nami nitaweka yang tuone nyie mameneja kama Mpo juu.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Utafiti unaonyesha maskari ndio wanaongoza kuoa wanawake magoli kipa

    Anashangaa mil30,watu wanavuta. Mpaka mil60.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Utafiti unaonyesha maskari ndio wanaongoza kuoa wanawake magoli kipa

    Kusema ukweli hakuna mwenye degree humu anayelipwa 1m na kuendelea,kama yupo aweke copy ya salary slip na mm nitaweka yang
Back
Top Bottom