Recent content by kibabu mtoto

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mvua za rasha-rasha zimeanza kunyesha huko Tehran,Iran “Yajayo Yanafurahisha”

    Akili timamu utakuwa nazo wewe?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Iran kuona dalili zote kuwa Itashambuliwa tena na Israel yaanza kujihami mapema!!!

    Hivi wewe ymeshaolewa??? Kama bado nipe ruhusa nije kukulipia mahari, maana nahisi unajua kubembeleza.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Si walisema wameangamiza kabisa vinu vya nyuklia vya IRAN? vipi tena Mwaisa

    Acha ujinga wewe, Kwahyo ni sahihi wengine wamiliki nyuklia ila ila Iran isimiliki!!!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Israel ni kidume huko Mashariki ya Kati hadi Uajemi!!!

    Wewe echo sijui gecko, mbona una matusi hivyo!!! Au wewe demu??? Halafu tambua kwamba mwanaume yabidi awe na ndevu, mwanamke hatakiwi kuwa na ndevu na hata akiwa na ndevu kila mtu atamshangaa, sasa wewe unashangaa mwanaume kufiga ndevu? Utadonyolewa dogo.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

    Wakati mwingine upwiru unapozidi Kwa wanadamu inakuwa ni shida sana, unaweza kufanya jambo ambalo ukija kutafakari hadi unashangaa. Yesu siyo Mungu, Wala siyo mwana wa Mungu, yeye ni mjukbe tu wa mwenyezi Mungu, na ktk uislamu anaitwa Issa bin Maryam, Hana baba, alizaliwa Kwa uwezo wa mwenyezi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Familia zitakazojaa Bungeni

    Mmenisahau Mkalinga hapa.
  7. K

    JamiiForums Tanzania TCRA: X ndio wamesitisha huduma nchini. Tuliongea nao waondoe maudhui ambayo hayana "maadili" ya Kitanzania

    Kama mtandao wa X unaruhusu mambo ya kipumbavu, naunganmkono uendelee kufungiwa, hamna namba.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Iran yadai Marekani inajiandaa kuivamia kijeshi. Mazungumzo yanayoendelea muda huu ni janjajanja

    Nyinyi watoto wa.haramu mna lugha chafu sana, hujui Kwa kuweka maneno sahihi!!!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maboss Azam Media hawataki tuitoe habari ya kujiuzuru kwa Humphrey Polepole

    Kwa maana hyo habari ya kujiuzuly Kwa polepole ni fake
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta ilikuwaje ukashindwa kumhamishia baba yako ‘ushuani’ ukakubali afie Mbagala?

    Ac Acha fikra potofu kijana, unatumia akili gani hadi kushindwa kutambua maisha yalivyo!!! Ok, umeishi ushuani kama unavyosema, kifo hakikupato??? Sawa, kaburi nalo litakuwa la kishua au??? Acha dharau, mbona mbagala watu wako vizuri tu kimaisha na kiuchumi, mambo ya kitoto usiyatumie ktk...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Israel yaendelea kuua Wanasayansi na Makamanda wa Iran ndani ya Iran. Hii imekaaje Wadau?

    Na anayetaka heshima yako au uaminifu wako ni nani??? Hulazimishwi kumhwshimu mtu Kwa kigezo Cha imani yake au vinginevyo kwani malezi yanatofautiana. Pia naamini una chuki binafsi ambazo hazina faida Kwa kijana wa kiume kama wewe, labda kama siyo me.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wako wapi walio sema Hezbollah kisha

    Kwa Mungu yupi?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hii sio vita ya kisiasa, ni vita ya kiroho iliyopangwa mnamo mwaka 1871

    Na mimi naweza kuamini hii post ya jamaa, hiyo ishu ya lucifer IPO ktk Qur'an pia kwani ktk masikunya mwisho ya dunia atatokea kiumbe kuja kupotosha binadamu aitwaye masihi dajjal ambaye na atakuja kupambana na nabii Issa (yesu) kwani nabii Issa ataleta mahubiri ya Mungu na masihi dajjal...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Khayatollah ampigia simu Trump kumtaka awatulize vichaa Israel

    Kwani yeye mama Samia anakutaka wewe??? Una faida gani ktk nchi hii zaidi ya kujaza vyoo na kuongeza idadi ya nzi!!! Huna faida na uache kumsema mama. Kama hautaki jifie zako.
Back
Top Bottom