Mwambie hajalipa fidia na Sasa wananchi wanatakiwa kubomoa pasipo fidia na wamekuja na Mkuu wa Wilaya na vitisho kuwa watu wakigoma mradi utahamishwa kwingine
Nyumba nyingi mkuu Sasa wanataka watu wabomoe nyumba zao kupisha ujenzi na kuja kulipwa baadae. Sasa ukishabomoa unaamia wapi? Hela ya kubomoa unapata wapi? Yaani ni ujinga juu ya ujinga
Mh Makamu wa Rais Dakta P. Mpango katikati ya mwezi Mei mwaka huu 2023 ulifanikiwa kuweka Jiwe la msingi ujenzi wa Barabara ya Mianzini to Ngaramtoni. Na kuahidi wananchi waliopitiwa na Barabara watalipwa fidia kwa mujibu wa Sheria za Nchi. Ila mpaka Sasa hawajalipwa ingawa makadirio ya gharama...
Mnamo tarehe 19.05.2023 Makamu wa Rais Dkt. Mpango uliweka Jiwe la msingi kwa ujenzi wa barabara kiwango cha lami Mianzini mpaka Ngaramtoni yenye urefu wa kilomita 18 Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha.
Na kubwa ulituhaidi wananchi wa Kijiji cha Olemringaringa mpaka Ngaramtoni tutalipwa fidia...
Asalaaam wanajamvi! Kuna kitu kinaitwa Credit Reference Bureau kinahusika na list ya madeni yasiyolipwa na kuripotiwa kwao kutoka taasisi za kifedha(wakopeshaji)
Nahitaji kufahamu haya yafuatayo:-
1. Je nitajuaje Kama Niko kwenye list ya CRB. Na taasisi zilizo ripoti Jina langu.
2. Je...
Asalaaam wanajamvi! Kuna kitu kinaitwa Credit Reference Bureau kinahusika na list ya madeni yasiyolipwa na kuripotiwa kwao kutoka taasisi za kifedha(wakopeshaji)
Nahitaji kufahamu haya yafuatayo:-
1. Je nitajuaje Kama Niko kwenye list ya CRB. Na taasisi zilizo ripoti Jina langu.
2. Je...
Tatizo la Yanga pale ni Engineer anatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja. Yeye ni Mkurugenzi wa Uwekezaji(GSM.kaajiriwa) wakati huo huo ni Rais wa Club. Na huyo Haiers ni partnership na GSM. Hapa Kuna mgongano mkubwa wa kimaslahi, na wanapoelekea GSM atainunua Yanga Moja kwa Moja kwa sababu...
Ya kilofa sanaaaa. Mimi nilifanikiwa fanya kazi Halmashauri zaidi ya miaka 9 ktk position Menejimenti. Yaani DED ni kazi isiyokuwa na ratiba always, isiyokuwa na bajeti, isiyo kuwa future. yaani stress Kila saa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.