Samahinini jamani....binamu yangu kachaguliwa kozi ya architecture Mbeya ila anaonekana hakuipenda sana na aliijaza tu kujazia nafasi....imetokea kumnyima raha kiukweli naomba mnisaidie in detail kuhusu hii kozi ili japo nmtoe wasiwasi huyu binamu.......
Asanteni sana
Samahanini ndugu zangu naomba kuuliza juu ya hawa watoto wanaozaliwa wameungana na badae kuishi hivyo hivyo bila kutenganishwa.
Vipi kwa mfano likitokea donda upande wa mmoja je namwenzake anapata maumivu,pili je vipi kuhusu mioyo yao ni miwili au kila mmoja anajitegemea?
Sorry for disturbing you
Hoja zilizotolewa na Zitto ni nzito si zakitoto,nadhani ndugai aliko anahisi katupiwa kwenye boxer kaa la moto,pia wakae wakijua sisi watanzania akili zetu zimeamka si tena za ndoto.Naelewa walipo wanatamani nissan ikammiminie zitto vitu vya moto......TUNDU LISU pona,ZTTO endeleza pambano
bado hapo hujakutana na gangstar amevaa T-shirt kubwa limeandikwa FUBU,kiatu kikubwa a.k.a tuff but,jeanz kubwa mifukoni unaweza kumficha mbilikimo asifurukute huku limepabwa kwa maandishi ya 05 au Sean John.Kutembea anatembea kwa mnato kama vile joints za mwili zimeishiwa grisi.....duh najua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.