Search results

  1. K

    Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

    Kweli Sodoma na Gomola yaja
  2. K

    Msanii Kala Jeremiah yuko wapi siku hizi?

    tar 10 kesho anaachia ngoma inaitwa "kijana".....kaa mkao wa kula
  3. K

    Msaada kuhusu kozi ya architecture MUST

    Kwanini ardhi mkuu.....samahani
  4. K

    Msaada kuhusu kozi ya architecture MUST

    Samahinini jamani....binamu yangu kachaguliwa kozi ya architecture Mbeya ila anaonekana hakuipenda sana na aliijaza tu kujazia nafasi....imetokea kumnyima raha kiukweli naomba mnisaidie in detail kuhusu hii kozi ili japo nmtoe wasiwasi huyu binamu....... Asanteni sana
  5. K

    Naomba kuuliza juu ya hawa watoto wanaozaliwa wameungana

    Samahanini ndugu zangu naomba kuuliza juu ya hawa watoto wanaozaliwa wameungana na badae kuishi hivyo hivyo bila kutenganishwa. Vipi kwa mfano likitokea donda upande wa mmoja je namwenzake anapata maumivu,pili je vipi kuhusu mioyo yao ni miwili au kila mmoja anajitegemea? Sorry for disturbing you
  6. K

    Zitto Kabwe: Uhuru Wangu wa Maoni Ulilenga Kulinda Uhuru, Haki, Hadhi na Madaraka ya Bunge

    Hoja zilizotolewa na Zitto ni nzito si zakitoto,nadhani ndugai aliko anahisi katupiwa kwenye boxer kaa la moto,pia wakae wakijua sisi watanzania akili zetu zimeamka si tena za ndoto.Naelewa walipo wanatamani nissan ikammiminie zitto vitu vya moto......TUNDU LISU pona,ZTTO endeleza pambano
  7. K

    Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya ampongeza Rais Magufuli, amuita jembe

    Hajakosea kumwita jembe.....labda alimaanisha jembe la kuzolea KINYESI,hata likizoa kinyesi lazima lipongezwe
  8. K

    OMBI; Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar, njoo misikitini tujadili maendeleo ya waislamu, usishinde sana kwa RC

    Kama vipi huyu Sheikh tumpige albadir yeye au mnaniambiaje wanangu
  9. K

    Tanzania ya Kesho sio ile ya Jana:wakati wavulana walipokuwa watoto, na wanaume walipokuwa Wavulana.

    bado hapo hujakutana na gangstar amevaa T-shirt kubwa limeandikwa FUBU,kiatu kikubwa a.k.a tuff but,jeanz kubwa mifukoni unaweza kumficha mbilikimo asifurukute huku limepabwa kwa maandishi ya 05 au Sean John.Kutembea anatembea kwa mnato kama vile joints za mwili zimeishiwa grisi.....duh najua...
Back
Top Bottom