Recent content by kiangola

  1. K

    Ni Mchungaji Wilbroad Mastai wa Kimara au Dkt. Elioina Kimaro wa Kijitonyama?

    Iwapo eliona kimaro atachaguliwa kuwa askofu wa Dayosisi hii,naapa kuacha kuwa Muumini wa kanisa hili kubwa Duniani. Jana malasusa Leo tena kimaro! No way.
  2. K

    Hivi ni kwanini Waafrica wanawaogopa wazungu?

    Sio kosa lao,ni Historia tu ya utumwa na ukoloni. Mtu akikutawala always utamuona ni bora zaidi yako. Mbaya zaidi hawa Watu weupe wanajua kwamba Watu weusi wanawagwaya,na wanacapitalize hasa kwenye huo udhaifu. Dada zetu wamekubuhu unyonge kwa Watu weupe. Mimi nikikutana nao huwa nawapa...
  3. K

    Jengo lile bila “kuchoma moto” hakuna teuzi wala Kiongozi ataweza simamia

    Choma moto msitu,nyoka na wadudu wote hatari watatoka wenyewe. Mama apige kiberiti kwelikweli. Bora waje hao waarabu,watalipa kodi na mirabaha stahiki.Kuliko kila mwaka hesabu za bandari hazieleweki,Watu wanaiba mpaka wanakufuru.Mizigo hailipiwi ushuru inapita tu,huo ni ufala. Watu...
  4. K

    What makes young people to dislike their parents

    Dawa ya Mtoto mkaidi ni kumuacha kama alivyo. Hakuna kubebeleza mtoto mpumbavu. Dunia itamnyoosha tu.
  5. K

    Zanzibar yaweka marufuku ya kuuza vyakula wakati wa Ramadhan

    Wacha wee! Mnang’ang’ania hayo Magofu hapo stone town eti kivutio cha Utalii? UNESCO wanawazuia kubadilisha Madhari ya Nchi yenu kwa Kigezo Cha historia? Waoman waliwapa nini nyie? Ukifika Zanzibar unakutana na Magofu ya waoman? Leo mnataka kujifananisha na Qatar? Hao wazungu wakija hapo...
  6. K

    Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

    Nashauri hii Kazi apewe Mtaalamu mbobezi wa MI kutoka Jeshini. Idara imepoteza ushawishi wake. Ikipendeza LT GEN Mkingule apewe hii Idara.
  7. K

    Tetesi: Diwani Athumani au Wambura Camilius mmoja anaweza kuwa IGP, Selemani Mombo kwenda TISS?

    Lt Gen Kombe aliuwawa,kwa maelekezo mahususi. Aliuza Mkeka muhimu kwa Maadui. Elimination yake iko Justified. Vingenevyo angejiua Mwenyewe.
  8. K

    Ukraine na uwezo wa medani waishangaza dunia

    Bado URUSI hajatangaza Vita lakini Tayari Zelensky keshaomba Msaada kila pande ya Dunia! Leo watu Wamagharibi wanataka Sisi watu Weusi tuwaunge mkono kuinyanyasa URUSI! Ulaya na Marekani wanaipa msaada Ukraine wa kila kitu ili kuidhibiti hii Operation ya kijeshi! Lakini watu wanazidi kuikimbia...
  9. K

    Imeandikwa ishi nao kwa akili, sikusikia yamenikuta

    Pole kwa kuingizwa Kingi mkuu.
  10. K

    Duniani kuna watu wana bahati sana, Dkt. Mpango hakupanga awe mwanasiasa lakini leo ndiye Makamu wa Rais

    Namfahamu kidogo huyu Mzee,ni mpole na asiye na makuu Tangu kitambo. Hata voice tone yake haijabadilika. Binti yake mkubwa anaitwa Elisia. Enzi hizo Sinza kumepoa,siku hizi sinza kama Spain.
  11. K

    Mambo gani umeyafanya au kuyapitia maishani mwako ambayo hutamani mwanao/mtu mwingine kuyapitia?

    Ndio maana yake. Huwezi kuwa na feelings za kutosha. Huwezi kutoshelezwa kihisia na kingono na kabinti kama umezoea kuwazini hao kinamama. Hawana tena cha kuogopa,kila kitu ameshafanya! Kingine Ngono ina muunganiko wa kiroho,Mwanamke mwenye 55 yrs obviously amengonoka na kila design ya mikwaju...
  12. K

    Mambo gani umeyafanya au kuyapitia maishani mwako ambayo hutamani mwanao/mtu mwingine kuyapitia?

    Ni kwamba hakuna faida yoyote anayoipata kijana mdogo kulala na mwanamke anayeweza kumzaa. Kwa kipindi kifupi unaweza kufurahia lakini majuto yake hayaishi. Mbaya zaidi ni Uraibu mkubwa. Hii tabia ni ngumu kuacha. Kuna mambo unaweza kuyafanya ukiwa kijana mdogo na ukajiona uko sahihi...
  13. K

    Mambo gani umeyafanya au kuyapitia maishani mwako ambayo hutamani mwanao/mtu mwingine kuyapitia?

    Sitapenda Mtu yoyote wa kizazi changu akatae Shule. Avute sigara au Bangi. Anywe Pombe. Akose utiifu kwa Wazazi,hasa Mama yake. Alale na Wanawake watu wazima. Nimechora mstari mwekundu kwa hayo. Sitaki Wanangu warudie makosa yangu.
Back
Top Bottom