Bilashaka na wao hawataki kutekwatekwa ndani ya nchi yao,wanataka katiba mpya,wanataka miili ya ndugu zao waliouawa kipindi cha vurugu,wanataka ajira,wanataka TUME HURU na mengineyo.Ukikaa nao ukiwauliza watakueleza.
Kuwahi nk jambo moja,wengine wanawahi halafu wanajiunga wifi kufuatilia umbea wa mitandaoni na wengine kufanya kazi źao binafsi za onlines.
Nchi ina mambo ya ajabu sana.
Kuwahi nk jambo moja,wengine wanawahi halafu wanajiunga wifi kufuatilia umbea wa mitandaoni na wengine kufanya kazi źao binafsi za onlines.
Nchi ina mambo ya ajabu sana.
Watu wanaingizwa nchini,wanalipwa hadi wanaandana,serikali ilikua wapi?
Mbaya zaidi maiti nyingine za waandamanaji zilienda kuzikwa,inakuaje wageni wanazikwa nchini?
Ulishaona Samia au waziri yeyote yupo mbele kuzuia maandamano?
Viongozi wa serikali watoke waje barabarani na viongozi wa upinzani watoke na familia zao waje barabarani,uone kama inawezekana.Utabaki unawasikia akina Wanu na Mchengerwa kwenye teuzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.