Recent content by khuffuempire

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Asante kwa hii story,, huyu mwamba Kambona alikua mtu na nusu hadi mchonga akamuona ni tishio kwake
  2. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za Wacongo, Wamalawi na Wazambia kuikimbia Kariakoo siri hii hapa. TRA wanahusika pia

    Mi5 tena na bado hadi muite maji mma
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dalili za mvua ni mawingu: Mradi wa SGR hautakamilika wote ndani ya utawala wa Magufuli

    Mhhhm uongozi mtamu nyie acheni. Zitakuja sababu lukuki ilimradi kubariki matamanio ya walioshika mpini. Mwalimu aliona mbali sana kwa kukemea ili kuzuia pasitokee matabaka fulani kushika uongozi wa juu wa nchi, alijua nini kitatokea na ndo tunashuhudia yamebaki majuto tu hakuna wa kunyanyua...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

    XT ni turbo mkuu, na iyo 'T' inasimama badala ya turbo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua zaidi kuhusu Toyota Crown Majesta

    Ngoja nipate hela, hii ndo gari naisubiri
  6. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    Amekoma mkuu hatarudia tena
  7. K

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona baada ya kumiliki gari ya Mzungu

    Mi sahizi nawaza toyota crown athlete bado hujanitoa kwa mjapan,, kibubu kishafika nusu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua zaidi kuhusu Toyota Crown Majesta

    Technology ndugu gari nyingi zenye engine kubwa zinatumia zaidi umeme,, mafuta yanatumiza zaidi wakati wa kuwasha. Nakubaliana kabisa na mtoa hoja hapo juu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tabora: Dr Kigwangalla, Salum Happi, Ismail Rage, Prof Kapuya, mwanaspoti Maulidi Kitenge iponyeni CCM!

    Happi wa kondoa milima ya kolo wasi mkoani dodoma mzee
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla afungua duka la maziwa Kunduchi Mtongani, asema sasa anajikita kwenye ufugaji

    Safi sana Dr. Hamis,, umeonyesha njia. Nimekua inspired sana kusikia hii habari
  11. K

    JamiiForums Tanzania Katika dunia ya sasa, mheshimu sana yule anayefunga safari kuja kukutembelea "physically"

    Kweli mdau, waafrika hasa watanganyika tuna hii kasumba kuna watu wamejijengea wao ni wa kutembelewa tu, hii inatokea hasa mtu akiwa na uwezo wa kubadilisha mboga anajiona ni VIP yeye ni wa kutembelewa tu. Hii kwangu sioni kama ni ujamaa yaani ni utwana zaidi ya ujamaa tunaohubiri!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanahabari Raphael Waryana na Rafikiye John Dotto wafariki Dunia Muhimbili

    Innah lilahi wa innah lilahi rayjiun
Back
Top Bottom