Recent content by khetewesa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia unapoanzisha biashara ya kuku wa kienyeji

    nimejaribu kutafuta huo uzi nakwama, kuupata sijui njia gani huwa zinatumika....maana nimesearch ila napata vitu tofauti
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

    ASANTE KWA USHAURI!
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

    si unajua ukiwa sub kwenye First eleven ya mpira, unakomaa kutafuta namba ndugu. unaweza pata namba kwenye kikosi cha kwanza ila ukaridhika, na ayo ndio mapenzi!!!
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

  5. K

    nimechuk Nimechukua hoja hizi mkuu, zimekaa vizuri sanaa
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

    nimepasoma mkuu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia unapoanzisha biashara ya kuku wa kienyeji

    Habari Wataalam Nampango wa kuanzisha mradi wa kuku wa kienyeji hasa nikijikita kwa mazingira nilionayo. Ila nilitamani kufuga angalau kitaalamu, sio ili mradi nimewaweka tu nyumbani. Kwa wale ambao wamewahi kufuga hawa kuku kwa wingi, nini mahitaji ya msingi kabisa ninapoanzisha? Mfano...
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

    kweli, wanaochezea wanawake wanaziba riziki hilo lipo wazi. Nishawahi kumwambia bint mmoja kuwa mtu ulonaye anakunyanyasa na anakupotezea muda, alifanya maamuzi yakuacha na mshikaji wangu ila mpaka leo ananishukuru sana. kapotezewa miaka minne ila hajajali hilo. Sijajua nikwakiwango gani ni mme...
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

  10. K

    sure!
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

    Dada huwezi ona gap, kama gap halijajitokeza...umeona gap kwakuwa limejitokeza, likitokea naye ataliona ndipo atanikumbuka.
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

    kaka, asante kwa meneno ambayo yamenipa nguvu kwa namna yakipekee sana......hasa hapa "now it's better to remain silent"
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

    hofu yangu siku akija nipenda wakati huenda mtu wake hajamtimizia haja yake ya moyo na mm nishatoa ahadi kwa mtu mwingine, hilo huwa linanipa picha ngumu sana kwa mbeleni.
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

    Sawa. Ila naugulia sana ndani ya moyo....
Back
Top Bottom