Recent content by Kheri007

  1. Kheri007

    JamiiForums Tanzania Punyeto itanimaliza wakuu, Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu

    Acha kuogopa wanawake tongoza ukikataliwa sio mwisho wa maisha tongoza mwengine yupo atakae kukubali na hapo itakua mwisho wa kupiga nyeto
  2. Kheri007

    JamiiForums Tanzania Nikiwa na njaa tumbo linauma na kuwaka moto nakuwa mgonjwa ghafla. Msaada wakuu

    Mawili 1 minyoooo 2 kisukari Nenda kwenye kituo cha afya ukapime
  3. Kheri007

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Bona Fide Killer Zimetoka episodes 4 mpaka sasa ila drama kali 🔥🙌
  4. Kheri007

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Huyu bi mkubwa ana kazi nzuri sana 🔥
  5. Kheri007

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Pengine, nilitegemea makubwa tofauti na kilicho wasilishwa. S1 na 2 ni mbingu na ardhi.
  6. Kheri007

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Dah Weak Hero wamezingua mbaya mbovu Season 2
  7. Kheri007

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Dah huu mzigo nimeusubiri kwa muda mrefu sana
  8. Kheri007

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Study Group imeisha bila kumuonyesha Uncle 😁
  9. Kheri007

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kaupiga mwingi humu kanikumbusha Legendary Kim Sabu
  10. Kheri007

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kwa wale tunaopenda Medical Drama hii The Trauma Code ni nzurii itupieni macho.
  11. Kheri007

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Dream High itabaki kua namba 1 upande wa Musical Drama.
  12. Kheri007

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Garnacho ni Mudryk ambae tulietaka awe Huyu dogo anakuja kuongeza kasi zaid kwenye mashambulizi yetu Anakuja kuongeza goals/Assist Atapunguza mashambulizi mengi kwa wapinzani atafanya muda mwingi wawe wanazuia kuliko kutushambulia Naomba asajiliwe haraka. Conte kaliona hili ndio maana na...
  13. Kheri007

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Ingia telegram kuna wajomba wanauza mafile unlimited kwa bei kitonga kabisa
  14. Kheri007

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Maresca anazinugua
Back
Top Bottom