Kwa hiyo nani aliyeijenga Bugando? Unajua ile contract walipewa kina nani? Usilolijua usilizungumze haya tuambie Bugando ilianza kujengwa lini na kwa nini mchoro wake hadi leo haukukamilika?
Kwani wafanyabiashara wanalipa kodi kwa niaba ya jumuiya ya waislamu? Kuna mda ukinyamaza unaficha ujinga mkubwa. Tutaona mengi mwaka huu.
Huo mda ungesoma juzuu kujisogeza karibu na Allah
Ukiona hivyo ana experience ya wateja wa online kufanya malipo ni wazinguaji sana kwenye kazi kama hizi. Mimi huwa sifanyi kazi online ila akitokea mteja wa online huwa namuelekeza tu atumie AI ni bure na rahisi kukuletea unachokitaka ujue kuiongoza tu.
Vipi hiyo utalaum nayo!!
Mfano nenda ARDHI UNIVERSITY uone wanavyopata msoto hao watu. Namaanisha usiwashangae aidha kazi ni nyingi, wateja wengi wa simu huwa mnauliza tu kulinganisha na sio kufanya kazi kwahiyo huwa mnatupotezea mda.
Lakini pia inabidi ukimtafta Architect uende straight usilete mipango yako kwake, toa...
Ndoto yako ni njema. Ni muongozo unaotakiwa kuufuata. Ndoto imekukumbusha maisha yako ya nyuma na namna ulivyokwepa viunzi kadhaa katika maisha yako kwa msaada usioutarajia. Mwisho ndoto inakukumbusha ni wakati sahihi kukumbuka malengo yako uliyowahi kuyafikiria na kwa wakati huu unaweza...
Rudi kaburi namba 2 fanya ritual yoyote kufungua zile ahadi bado yupo na nafsi ake inalinda ahadi zenu. Ikiwezekana omba hata radhi kwa namna moja au nyingine pale hatma ilipoamua katikati ya safari yenu. Hatujui ni nini hujiri katika ulimwengu wa roho na hata huu wa macho tunaouona bado...
Ni wazo zuri na unaweza kuwa na nia ya dhati kabisa kwa wahusika lakini jambo moja wapaswa kujua, mambo mengi katika nchi zetu za kiafrika kwa sasa hayaendi kwa kanuni za kijamaa na uungwana. Utarudi hapa utueleze baada ya miaka hiyo miwili ya wao kuishi bila malipo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.