Recent content by khalfanially3

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kumeza Panadol kwa Soda kunasimamisha uume kwa muda mrefu?

    kweli serikali inapasa kusimamia wapuuzi kama wewe, hio ni sumu . na ninauhakika umeandika unachokijua.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Sumaye waivuruga CHADEMA, Washindana kuunda mitandao ya 2020

    naichukia chadema , lakini unachoongea hakina mashiko kabisa, unawaza mithili ya kuku aliekatwa kichwa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa tete: Stashahada ya Juu ya ualimu shule ya msingi yafutwa

    sipo tayar kuiweka nchi yangu bondi. Huo niutaratibu tu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa tete: Stashahada ya Juu ya ualimu shule ya msingi yafutwa

    tatizo nini? tusiishi kwa kukariri, taratibu tuliweka sisi na hata serikali ikitaka walimu wa msingi wawe na masta nado niutaratibu tu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania yangu

    watanzania tunamatatizo mengi yanayotukabili, lakini tumeonekana zaidi tukiangalia Rais ameongea nini(sio watu wote) ili tumkosoe au tumpinge, nchi hii ikijengeka itajengwa na sisi wenyewe, Uchaguzi ulishaisha sasa ivi tujikite katika maendeleo jamani. sisi wote tulishiliki katika uchaguzi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Maendeleo Tanzania

    maendeleo yatakuja kwa usimamizi bora wa rasilimali za nchi hii. Tanzania kwanza,
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Ukawa kama wachache
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

    wachina sio tatizo...boresha huduma wateja wakufate
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nani ni mwanachama halali wa chama

    Hivi mtu kuwa mwanachama wa chama fulani ni lazima kuwa na kadi au t-shirt?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Kila kona ya nchi watu wengi wamekuwa wakisikia na kutaja majina mbali mbali ya mtu wanaodhani anafaa kuwa raisi, wewe kama mtanzania unadhani nani anafaa na kwann?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ewe Mtanzania, tayari umeshasahau?

    Taifa linaongozwa na nani? Mwanasiasa anaongoza nchi basi acha tujadili siasa,au ulitaka tukimbilie nyumba za ibada?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa ACT mmeanza kuomba michango mapema mno, kwa mtindo huu watu watasita

    Mmeombwa mchango na sio maneno ya kejeli, kipindi yupo chadema mlitaka aondokena sasa mnalalamika kuwa ACT, hicho chama cha familia kinawatuma nn? Maana kila anaekwenda kinyume anaitwa msaliti,amkeni bongo lala
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tutasambaratisha CUF na kuteka mikoa ya Pwani - Mwigamba

    ACT haina mpango na chama chochote cha upinzani, CDM mmeshindwa kufikili...Someni coment zenu mjitathimini..ACT itawapiga bao kwa ujinga wenu na kukosa hekima, CDM ya mtei na mkwe wake mbowe...
Back
Top Bottom