Kuna Soko liko Magarini ambalo liko Wilaya ya Muleba, sasa Chato wanalifanyia fugisu lifungwe lwa lengo la kutumia soko la Muganza ambayo iko chato . Huo ndio uporaji wenyewe na hali Wao hawana nguvu kubwa kama ilivyo Muleba
Halmashauri ya Wilaya ya Chato kwa hiki kinachoendelea sasa ni unyanyasaji wa wazi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba. Hii kunyatia kulipora soko la Magarini kwa mazao ya Ziwani na kutaka soko hilo liende Muganza ni mabavu ambayo hayana maana kwa sasa. Sifa za kulipora soko hilo hakuna kwa...
Mbunge wa viti maalumu aliyegawa barakoa zilizoisha muda wake alishindwa vipi kuzifuatilia na kuzihakiki barakoa alizozigawa kama zina uhai wa kutumiwa mpaka kuzigawa kwa watu na hali zimeisha muda wake? Je kama zingelikuwa na madhara angeeleza nini? Muda mwingine tujifunze kuhakiki vitu kabla...
MWENYEKITI WA CCM (W) MULEBA AFURAHISHWA NA UMOJA WA WALIOGOMBEA NAFASI YA UBUNGE
AWAOMBA KUWAUNGA MKONO WAGOMBEA UBUNGE CCM WALIOTEULIWA NA CHAMA KATIKA MAJIMBO MAWILI YA MULEBA KASKAZINI NA KUSINI.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera *Mh.Athuman Kahara* leo...
Mawazo yangu na maoni yangu kwako ni njaa zangu ,basi kwa kuwa mawe hayo ni maoni yako sina budi kuendena nayo .ishi na hisia zako za kijinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifupi nimejaribu kuangalia kwa nini bado Ndugu MWIGULU LAMECK NCHEMBA ana mvuto kwenye jimbo la Iramba Magharibi tangu kuwapo mwaka 2010 hadi leo.
Mheshimiwa MWIGULU anafuatilia changamoto za jimbo lake kwa ukaribu mkubwa kuliko wabunge wa majimbo mengine, ni Mbunge ambae anatambua yupo...
Wazira wa katiba na Sheria akiwa kwenye uwakilishi wake ndani ya majukumu yake. Watanzania tunajivunia kuwa na jemedari wetu na shukrani za dhati zimuendee mheshimiwa Raisi John Magufuli kwa kulitupa jicho lake kwa Mwingulu hii ni kwa manufaa ya Taifa letu
Umeongea kila kitu haswaaa.kwa kifupi wapo watu wachache huenda matamanio yao ni kuona vurugu nchini mwetu, la msingi wafahamishwe kuwa Watanzania hatuongozwi na maneno ya kuunga unga tuna Kiongozi imara na shupa yupo makini kutuvusha.
Wakati unawaza kuisoma CCM kwenye vyombo kama msemo wako unatakiwa utafakari kuna chama gani chenye dira ya kweli ambacho kipo tayari kuwa mrithi wa CCM?
Hapo ndipo utabaini ya kuwa CCM inaimarika kwa madhaifu ya wapinzani wake
Kwa haraka haraka ukiangalia vyama vya upinzani vinakwama wapi utawaangushia lawa viongozi wa vyama vyao ,hii sio sahihi kabisa udhaifu unaoendelea kupatikana kwenye vyama hivyo unatokana na wanachama wenyewe wa vyama husika.
Leo hii unawaza kuhusu kutokea chama kingine kikubwa cha upinzani...
MH.RAISI JOHN MAGUFULI TUTAMLIPA NINI[emoji844]
Hili ni swali ambalo tunaweza kuyapata majibu yake ikiwa tutajituliza na kuipata tafakuli sahihi. Hakuna Mtanzania ambae hajaiona kazi ya Mh.Raisi toka mwaka 2015. Amejitoa kwa hali na mali kuhakikisha Tanzania inabadilika katika kila eneo lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.