Recent content by Khaleed Mgambilwa

  1. Khaleed Mgambilwa

    JamiiForums Tanzania Nikopo mikopo

    Jamani kwa wale wote wanaohitaji mikopo kipindi hiki cha Ramadhan hadi Eidd na wako serious please Inbox me ili tuonane na tuone namna ya kukupatia. Binafsi nina mikopo kibao haina kazi nimepandia maua na mingine imebaki!
  2. Khaleed Mgambilwa

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
  3. Khaleed Mgambilwa

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wenye Matege

    *Wanawake wafupi wenye matege wakivaa suruali nyekundu utasema plaiz[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]*
  4. Khaleed Mgambilwa

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    *Wanawake wafupi wenye matege wakivaa suruali nyekundu utasema plaiz[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]*
  5. Khaleed Mgambilwa

    JamiiForums Tanzania Mpende, mchukie lakini Zitto anaendelea kuwa mwanasiasa adimu katika Tanzania yetu

    Siku hizi ‘mpinzani’ aliyebaki kuibua uovu wa serikali na kashfa mbili tatu za ufisadi ni Zitto Kabwe tu. Wengine ni kama wamepigwa sindano ya ganzi, au kuna ’power sharing deal’ ambayo wananchi hawaifahamu. Si kwa ukimya wa sasa.
  6. Khaleed Mgambilwa

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Lwema humuuu..
  7. Khaleed Mgambilwa

    JamiiForums Tanzania #El Clasico

    Barça vs Madrid nani bingwa?
  8. Khaleed Mgambilwa

    JamiiForums Tanzania Inapobidi kumkana mama

    Umetulia ZAKo KWENYE Sherehe na MTOTO mkali Unamtongoza maraa MAMAAKO anakuja na Sahani Limeja wali "WEKa Kwenye RAMBO kubwa Mkale na WADOGo zako mie LEO sipiki Tena na OLE WAKO Ule Njiani " [emoji13][emoji13]Unaweza SEMA mama mie sio mwanao, mwanao Katoka hapaa sio Muda[emoji23] issue Utarudia...
  9. Khaleed Mgambilwa

    JamiiForums Tanzania Niamini

    Mwanamke Anaweza Kua Anaficha Simu Yake Kwa Sababu Hataki Mumewe Aone Mabaya Ndani Ya Simu Yake, Wakati Mwanaume Anaweza Kua Anaficha Simu Yake Kwa Sababu Hataki Mkewe Aone Mabaya Yake... Kwa Kutaka Uhusiano Wao Uendelee. Trust It.
  10. Khaleed Mgambilwa

    JamiiForums Tanzania Hii ya Mbunge na DC kuchoma sindano za chanjo ni hatari

    Ila Alimfanyaje?
  11. Khaleed Mgambilwa

    JamiiForums Tanzania Hii ya Mbunge na DC kuchoma sindano za chanjo ni hatari

    Hao Wakuu Wa Wilaya Na Wabunge Kabla Ya kuwachoma Watoto Wetu Sindano Ya Chanjo Tujiulize Kwanza Wana Taaluma Hiyo? Au Ukiwa Kiongozi Basi Wewe Kila Kitu Unaweza? Nchi Yetu Inaongozwa kwa Taratibu Na Sheria Msiingilie Kazi Za Watu Kwa Utashi Wenu.
  12. Khaleed Mgambilwa

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy akemea kitendo cha Mbunge kumchoma sindano mwanafunzi; asema kazi za kitaalamu zifanywe na Wataalamu

    Hao Wakuu Wa Wilaya Na Wabunge Kabla Ya kuwachoma Watoto Wetu Sindano Ya Chanjo Tujiulize Kwanza Wana Taaluma Hiyo? Au Ukiwa Kiongozi Basi Wewe Kila Kitu Unaweza? Nchi Yetu Inaongozwa kwa Taratibu Na Sheria Msiingilie Kazi Za Watu Kwa Utashi Wenu.
  13. Khaleed Mgambilwa

    JamiiForums Tanzania Lionel Messi LaPulga

    Nimezoea Kuona Takwimu za Magoli Yake Na Idadi kwa Ujumla mpaka idadi ya magoli ya kichwa, magoli ya mguu wa kulia/kushoto na ya penalt je nani anaweza kunambia magoli ya Faulo(free kick) anayo mangapi..? Nshauliza bila mafanikio
  14. Khaleed Mgambilwa

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuwatendea wema watu kwa uwezo wako na kwa nafasi yako lakini wao wakakuchukia vibaya

    [emoji683] Unaweza kuwatendea wema watu kwa uwezo wako na kwa nafasi yako lakini wao wakakuchukia vibaya mno cha msingi usitegemee kutendewa wema nao, unaweza kuwapenda watu kwa nafasi zao lakini wao wakakuchukia pia kwa nafasi yako lakini hii haimaanishi kwamba unatakiwa kuchukia kila mtu...
  15. Khaleed Mgambilwa

    JamiiForums Tanzania Lazima wewe uwe kama chujio tena chujio la umakini kuchagua yupi wa kuwa nae karibu

    Nikuumbushe kitu kimoja ndugu yangu, ni lazima maisha yako uwe kama chujio tena chujio la umakini kuchagua yupi wa kuwa nae karibu au kubaki nae katika safari yako ya mafanikio kwasababu hakuna anayeweza kukupiga kofi akiwa mbali na wewe na wala hakuna mtu anayeweza kukuambukiza mafua akiwa...
Back
Top Bottom