Recent content by khaiki2015

  1. khaiki2015

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Muhimu maslahi ya watanzania na sio idadi ya serikali lakini maamuzi ya wananchi ni vyema yajahehimiwa
  2. khaiki2015

    Utafiti wa twaweza unashabihiana na maoni ya tume ya warioba

    ipo haja wanachi kupiga kura ya maoni juu ya muundo gani wa serikali wanautaka
  3. khaiki2015

    Siri ya kung'ang'ania muungano

    Kuna mfalme wa wafalme leo hii yuko wapi anaangalia hatma yake ya akhera kiburi na maneno ya ufedhuli ni nguvu za punzi unazovuta na kukudanganya kama vile hutofika mbele ya haki
  4. khaiki2015

    Siri ya kung'ang'ania muungano

    Pumbaf mwenyewo mipaka walipanga wàkoloni kwa manufaa yao kama hutambui tafuta historia ni kweli ukanda wote wa pwani ulikuwa uko chini ya himaya ya zanzibar mombasa wamelipa fidia kurudi katika himaya ya kenya
  5. khaiki2015

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Serikali tatu hazikwepeki kero za mungano zimeshinda kutatuliwa kwa miaka 50 sasa,tatazo tanganyika imevaa koti la mungano na kuonekana mungano unafaida kwa tanganyika tu, ukichukulia bunge la mungano wabunge wa zanzibar hawana kazi shuhuli zote zinahusu tanganyika ila wasuburi mpaka bajeti kwa...
  6. khaiki2015

    Rai ya Zitto Zuberi Kabwe na muundo wa Muungano

    Mfumo gani Zanzibar wanautaka wataamua wenyewe na sio kuwapangia kama watoto wadogo,wenyewe wapo watakavyoona inafaa ndivyo watavyoamua mambo ya kuwapangia uwazir mkuu hayo ni mawazo potofu. Tambueni katika vichwa vyeni serikali zikiwa. Mbili,tatu ,tano saba jueni kwamba SMZ itakuwa kama ilivyo...
  7. khaiki2015

    Bunge la katiba

    Maamuzi ya wananchi yaheshimiwe bila hivyo kuna kazi ya kujakutia viraka katiba miaka michache ijayo
  8. khaiki2015

    Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

    Kwa vile Mzanzibar kila zengwe atazushiwa na hata yeye inawezekana elimu yake inawalakini mwawacheni mh afanye kazi aliyotumwa elimu sio lazima uitwe profesa
  9. khaiki2015

    Karibuni tuchague aina ya muungano tuutakao, je majibu ni sawa na ya tume? Piga kura

    Hii nchi ya watanzania na sio ya. Tabaka fulani mawazo yao yaheshimiwe. 1 + 1 = 3
  10. khaiki2015

    Karibuni tuchague aina ya muungano tuutakao, je majibu ni sawa na ya tume? Piga kura

    SERIKALI TATU(3). Na hao chanel ten kama tv ya ccm waweke wazi hio midahalo yao kuhusu rasimu ya katiba hutafuta wakereketwa na kufanya nao mdahalo, kama wako wazi juu ya suala hilo watafute muakilishi anaepana serikali 1,2,3 na ambao hawautaki haswa hapo mdahalo wenu utakuwa balance
  11. khaiki2015

    Huu ndo ukweli kuhusiana na Wazanzibar na Mijadala yao

    Hata Tanganyika yaweza kuwa kama somalia tu musiione Zanzibar Nchi zote za kiafrika zimejaa njaa na lolote linaweza kutokea kuitakia mabaya zanzibar ni fikra za kijinga wimbo wa taifa wa tanganyika unahimiza amani Afrika kwa ujumla“Mungu ibariki Afrika” ukimuoneshea kidole mwenzio basi jua...
  12. khaiki2015

    TCRA tusaidieni king'amuzi cha continental ni feki

    Nunua azamTV ni suluhisho la matatizo yako
  13. khaiki2015

    TUJADILI: Logic ya CCM kuhalalisha serikali mbili waliitoa wapi?

    Serikali TATU (3) ndio suluhisho la kero za mungano zilizokuwa hazitatuki na zilizokuwa zimedumu miaka 50 ila chama chetu ni waoga kwa hilo na wanapower ya kuwasemea wananchi mawazo yao
  14. khaiki2015

    Naomba tafsiri ya hii picha...

    Nilivyofaham mimi chadema maamudhi wanayoyafanya kwa ajili ya Uraisi 2015 kwa kumuadhibu wanaehisi ni adui yao wajue watakaoasirika ni wao wenyewe
  15. khaiki2015

    Tundu Lissu na Albert Msando yupi ni mtaalamu zaidi wa Sheria?

    Sheria haina bingwa kwani hao wote huikoroga sheria wanavyofaham wao na huwa wakaidi kuambiwa wanakoroga na huwekwa sawa na watu wadogo tu wa sheria
Back
Top Bottom