Recent content by kgabriel

  1. K

    Nitarudi tena Marangu

    Arushaone hukutaka masinagogi yetu yajulikane eeh??
  2. K

    Mwenzenu ninazamu ya kulinda sungusungu mtaani kwetu, msaada wenu pls wana CC !!!

    Hahahahahahahaaaa uwiiiiiii leo cjacheka cku nzima!!u made my day!!!usipolinda watajuaje??chapa usingiziiii
  3. K

    Nitarudi tena Marangu

    Hahahahahaaa marangu kwetuuuu....marangu mtoni ulionja kitimoto ya uchumi??n balaa...afu uliza sh ngap et kg 1 buku sita!!! Karibu tena na tena
  4. K

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nahii peke yake usimsahau na katibu wake kilaza.....
  5. K

    Nimrudie Tena?

    Naungana na Taboraone....dada usirudi nyuma kamwe kama alikuacha yy leo wewe ndo umtafute c kujidharaulisha huko??bora ungemuacha ww thn akufate lakn umfate ww...hapana dada mpendwa hapana!!!na swla a umri unaenda wap??Mungu unayemtumain hajawi kushindwa na jambo keep on praying!utapata mume...
Back
Top Bottom