Jamani kuna mtu wakati naongea naye amenishtua kidogo pale aliponambia kwamba; anashangaa kila akimaliza kula anahisi kama hajashiba. Kiukweli binafsi sijawahi kusikia kitu cha aina hiyo, sasa nikaona niwaletee hapa wadau pengine kuna mtu ana experience au umahili wa jambo hili ambalo ningependa...
Wewe Gudume...ni mchonganishi na una dalili za uchonganishi tafadhali acha ya Kaisali yawe ya kaisali na ya MUNGU yawe ya MUNGU; usijaribu kutumia uwelewa wako mdogo wa neno la Mungu kuwapotosha wengi wenue uwezo sawa na wako;
Kimsingi sisi watumishi tunafanya kazi ya Mungu kwa kutii kwanza...

Mh...jamani acheni ...watu wenye nia njema, watafiti na wadau wenye sayansi ya siasa they never deal with comedy politics like that you know; only facts are there to be scruitinized for real data!
Acha uongo asee...
Wengi wa hawa jamaa wa kanda ya ziwa hasa kutoka Mara wako vizuri sana kiakili; wapime katika level yoyote ya elimu wanakosoma. Pia ni wachapa kazi mimi nimewaajiri 10 kwenye kiwanda changu aseee wanachapa kazi balaa!
Utasikia tu arooo...muraaa...harooo...huku kazi kwa kwenda...
Endeleeni kupiga ngoma na kuimba wenyewe sisi; kazi ni kucheza tu mpaka mkome awamu hii na bado kazuieni na meri zisitie nanga bahari ya Dar!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.