wakuu nina galaxy S5 hapa inatumia T-mobile ya US nauliza kwa yeyote anayeweza anaweza kuUnlock au kama unajua website au software Ya kuUnlock nitumie kwa mitandao ya Tanzania.
kama kuna mtu anweza tuwasiliana au Ni PM 0756669331
Thanks..............................................
Upande wa pili wa shilingi! Kwa mara ya kwanza tangu ahusishwe na skendo ya ubakaji wa shemejiye mwenye umri wa miaka 17, mume wa mwimbaji wa Injili nchini, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameibuka na kuzungumza na Uwazi katika mahojiano maalum dhidi ya kashfa yake hiyo huku akitishia kujiua...
KWELI DUNIA HADAA.... FLORA MBASHA KUMBE UMEMFANYIA HIVI MUMEO!!!!!
Upande wa pili wa shilingi! Kwa mara ya kwanza tangu ahusishwe na skendo ya ubakaji wa shemejiye mwenye umri wa miaka 17, mume wa mwimbaji wa Injili nchini, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameibuka na kuzungumza na Uwazi...
Ni used lakini kipo kwenye hali nzuri.
Brand
Toshiba
Item Weight
2.1 Kg
Product Dimensions
30 x 29.8 x 10 cm
Item model number
PLL10E-013030EN
Screen Size
8.9 inches
Processor Type
Atom N270
Processor Speed
1.6 GHz
RAM Size
1 GB
Hard Drive Size
120 GB...
Kuna msichana mmoja nimefamiana nae kama siku kumi lakini jana kaniuliza swali moja, Je unanipenda nikamjibu ndiyo kwa kusita then kaniambia naomba univisheshe pete ya uchumba nilishuka sana.
Nikamuliza mbona mapema wanajamiiii naombeni ushauri
NB: sijawai kumwita baby, mpenzi wala, hua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.