Its all a facade, maria aliplay a role kwenye kumleta magufuli madarakani, and probably she'll play the same role again uchaguzi ujao ukija. So msiwaamini kivile...
Fatma looks authentic enough that's why it's costing her.
Kwenye mahusiano huwa kuna changamoto mbalimbali, hakuna mahusiano yasiyokuwa na changamoto. Ila wakati mwingine mtu unaweza ukapitia changamoto mpaka akili ikakukaa sawa. So ni changamoto gani ulishawahi pitia kwenye mahusiano, uliitatuaje? Na je uko na huyo mtu mpaka sasa?
Share experience...
Magufuli kuwa president kumeharibu sana succession line ya CCM, kwa hiyo wale wote ambao defacto ni first and second in line (Membe & January) kusuceed to the president's chair, hawatakuwa katika new succession line. That's a fact.
Kwahiyo January kuja kuwa president ni sawa na ngamia kupenya...
Si zungumzii kiutendaji
Si zungumzii kuhusu influence
Bali nazungumzia ambition, kati ya the most ambitious politicians waliewahi kutokea in the past 2 decades tunaweza kusema ni Lowasa, lakini unfortunately hajaweza kushika the top office in the country pamoja na jitihada zote. Tukija kwa...
Hao kinana na makamba, sio kwamba wako righteous. Bali wana hasira, hasira za kutolipwa fadhila. Hata nape nae hivyo hivyo.
Uchungu wao ni kwamba wametengwa, na hawako high table sasa hivi wakila mema ya nchi. Believe me hao wote wangekuwa hightable sasa hivi wanakula mema ya nchi, hakuna hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.