Recent content by Keyala

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari TOYOTA ISIS 2008 namba DMR

    Gari bado ipo. Bei ni 9.5M Na gari ipo katika hali nzuri saana!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari TOYOTA ISIS 2008 namba DMR

    Kweli kabisa! Kwa matumizi ya safari za hapa na pale ni gari nzuri sana hii!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari TOYOTA ISIS 2008 namba DMR

    Ubovu wa gari unatokana na matumizi mabaya na kukosa service kwa wakati. Sijui unaishi wapi lakoni kwa hapa Dar es Salaam spea zipo na zinapatikana kwa bei ya kawaida sana. Nimeitumia kwa miaka kadhaa na haina shida kabisa!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari TOYOTA ISIS 2008 namba DMR

    9,500,000
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari TOYOTA ISIS 2008 namba DMR

    Gari ipo Kigamboni Dar es Salaam. Ipo katika hali nzuri sana! Make: TOYOTA ISIS MWAKA: 2008 CC: 1798 SEATS: 7 DRIVE: AUTOMATIC, 2WD Kama kutahitajika service basi zitakuwa ni spares ndogongogo za kkawaida. Mawasiliano: WHATSAPP: 0785872256 BEI: 9,500,000
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naitaji mtu wakumsaidia kuwekeza kwenye soko la mbao

    Haina shida kabisa. Leta mteja changu nachukua. Chakwako nakupa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naitaji mtu wakumsaidia kuwekeza kwenye soko la mbao

    Niungnishe na mteja.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naitaji mtu wakumsaidia kuwekeza kwenye soko la mbao

    Bei ya 2/4 ni 3,200
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naitaji mtu wakumsaidia kuwekeza kwenye soko la mbao

    Mimi nina mbao na boriti za kutosha natafuta mteja. Mbao zipo marneo ya Njombe uelekeo wa Songea. Kama kuna mnunuzi nicheki kwa nsmba 0785 872 256
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Mkuu naomba kujua kama una uelewa wa Nissan X Trail T32 hybrid ya mwaka 2015. Hybrid battery zake zinauzwa bei gani hapa Tanzania?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

    Uzi mzuri sana. Naomba kuuliza maeneo ya Bungu karibu na Kibiti ndizi aina gani zinakubali?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tunaomiliki magari ya mzungu tukutane hapa

    RRONDO, Naomba kujua gari ya Toyota Isis ya mwaka 2008 Engine Oil ipi ni nzuri kwa ajili ya kuifanyia service? Halafu matairi yake ni 195/65/R15 kiasi gani cha upepo ni sahihi kwa magurudumu haya (tubeless)?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha Saizi ya matairi ya gari ndogo

    Ya mwaka 2008
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha Saizi ya matairi ya gari ndogo

    Hivi kutoka 195/65/R15 na kuweka 195/7/R15 gari itainuka kwa sentimeta ngapi? Zinazidi 2cm?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha Saizi ya matairi ya gari ndogo

    Sifikirii kabisa kuweka spacer kwa sababu nasikia inaweza kuwababisha gari kupoteza balans yake hivyo uwezekano wa kupata ajali ukiwa kasi ni unaongezeka...
Back
Top Bottom