Recent content by kevin strootman

  1. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

    Inachukua mda gani kufungiwa umeme baada ya kulipia?
  2. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Naona goli 7 Leo, Nina furaha sana
  3. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri bali vinalaza hela, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali

    UKO SAHIHI, nyumba mbili nilizonazo hapa mjini pesa niliyotumia kujengea ningesema niwekeze naona ningekua mbali sana, NI Jana tuu nmetoka kuwaza na kusema SITAKAA NIJENGE TENA! hizi nilizonazo zinanitosha kwasasa nafocus na kutengeneza mzunguko WA pesa zaidi
  4. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Royal Family wadhibitiwe, watavunja NDOA za watu!

    🤣🤣🤣
  5. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

    Hata mfanyakazi wangu WA ndani kamzid
  6. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

    Alienda kuongezea makalio ya bandio surgery ikafeli
  7. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

    Wanatakiwa wasaidiane wenyew
  8. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

    Wewe changia
  9. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

    Ninapesa, lakini sichangii Kila mtu, hata 100 ni hela
  10. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

    Bora ninywee soda baridi
  11. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

    Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
  12. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wangu siwezi KUMCHANGIA aliyefia Uturuki akifanya surgery ya urembo

    Amberrutty nae naskia anaomba msaada wa watanzania juzi kapata ajali
  13. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wangu siwezi KUMCHANGIA aliyefia Uturuki akifanya surgery ya urembo

    Washatuona watanzania wajinga
  14. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Kwa upande wangu siwezi KUMCHANGIA aliyefia Uturuki akifanya surgery ya urembo

    Mpaka ameenda kuweka tackling bandia inamaana alikua vzur, Tena haujaenda mloganzila, uturuki kabisa
Back
Top Bottom