Recent content by Kevin Lukama

  1. Kevin Lukama

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu Shule ya Mpanda Day wanalazimisha wazazi tulipe hela ya ‘twisheni’ wakati wa likizo

    Mzazi hawezi kukosa elfu tano bali ni ulimbukeni.
  2. Kevin Lukama

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu Shule ya Mpanda Day wanalazimisha wazazi tulipe hela ya ‘twisheni’ wakati wa likizo

    Mzazi hawezi kukosa elfu tano bali ni ulimbukeni tu. Elimu bure ni kwenye ada ila kwenye maendeleo ya shule lazima uchangie
  3. Kevin Lukama

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu Shule ya Mpanda Day wanalazimisha wazazi tulipe hela ya ‘twisheni’ wakati wa likizo

    Sasa elfu tano kwa mwezi ni nyingi, mbona uko nje mnatoa +10000 na hamlalamiki. Mwalimu hapo kajitolea masaa ya ziada ili watoto wenu wapate kujua vitu mapema mnalalamika. Huo muda mwalimu ilibidi awe na familia yake, embu fikirieni tena.
  4. Kevin Lukama

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walimu Shule ya Mpanda Day wanalazimisha wazazi tulipe hela ya ‘twisheni’ wakati wa likizo

    Elimu ni bure kwa masaa ya kazi, likizo ni ziada kwaiyo wasione wanaonewa, wasipende kulalamika kila kitu cha muhimu ni kushukuru kwa walimu kukubali kujitolea masaa ya ziada. Kwenye shule mnalalamika ila nje uko mnatoa fedha, kwanini? Muhimu ni kushukuru maana muda wa likizo mwalimu huwa...
  5. Kevin Lukama

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mke wangu alinificha kwamba ameathirika

    Asimuache, waande kwa daktari wapate ushauri wanaweza wakaishi pamoja na huyo brother asiambukizwe. Maana mgonjwa ambae ametumia dawa kwa muda mrefu virusi wake huwa dhoofu.
  6. Kevin Lukama

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    "Muombe MUNGU akupe rafiki ambaye hachoki kulitaja jina lako katika chumba chenye fursa" Swahili times.....
  7. Kevin Lukama

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya kuendelea mgao wa Umeme! Kumbe shida sio January Makamba?

    Mgao kwa sasa umepungua.
Back
Top Bottom