Recent content by kev the don

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kuachika na kuachana

    Nimeacha mtu nimpendae Leo, asante kwa somo mchungaji ntaanza upya
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    Chumba changu hakina mlundikano Wa vitu zaid ya kitanda na mabeg ya nguo nahisi kuna sehemu nimewatoa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    Sawa mkuu ntafuata ushauri wako
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    Unaweza kusema ni uchafu but nakuhakikishia huwa najitaihd kufany usafi na nahis kuna sehemu nimewatoa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    Asante kwa ushauri
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    kuhama bado sana nahitaj msaada niwaondoe,
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    Habari zenu! Nimevamiwa na hao wadudu aina kunguni, kwa anayefahamu wapi naweza kupata dawa ya kuwaondoa kabisa au njia yoyote ya kuwaondoa wadudu hao ntashukuru. Asante.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mdudu kunguni (bedbugs) na jinsi ya kumuangamiza

    habari zenu! Nimevamiwa na hao wadudu aina kunguni, kwa anayefahamu wapi naweza kupata dawa ya kuwaondoa kabisa au njia yoyote ya kuwaondoa wadudu hao ntashukuru.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mwili kutoa majimaji (hasa mikononi na miguuni)

    Nina tatizo la kutokwa na jasho mikononi na kwenye miguu yaani napata shida sana hasa nikiwa kwenye msongamano Wa watu mfano kwenye daladala au nyakati mchana kukiwa na jua Kali. Sasa swali langu huu ni ugonjwa? Na kama ni ugonjwa tiba yake ni dawa gani maana kwangu ni kero. Msaada Tafadhali.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nilikua napita tu kimya kimya lakini Leo yamenikuta

    Habari wana jf, Mimi ni member wa humu ndani muda kidogo lakini huwa nasoma tu michango na matukio ya watu ambayo hupitia katika maisha yao na kuamua kushare na watu ili wapate angalau uahauri au mawazo.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Adaptor ya PlayStation 2, 8.5 v

    Wewe unauza sh ngapi?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Adaptor ya PlayStation 2, 8.5 v

    Mwenye kujua nitapata wapi maana nimezunguka sehemu nyingi ila hazina ubora ninaotaka
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Tatizo ukwasi mama ndio maana hivo. Ila asante kwa ushauri wako mzuri
  14. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Thanks.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Wana nini hao wenye hayo makabila?
Back
Top Bottom