Recent content by keteka

  1. keteka

    Estar Bulaya aachiwa huru

    Ana nn hii hawa haki na sheria muhimu sana tii utaratibu zilizowekwa ana usharoobaro tupu hanajipya Bunda Tu nataka kazi sio maneno na majungu ya ukawa
  2. keteka

    Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

    Nani Katibu Wa chadema
  3. keteka

    Estar Bulaya aachiwa huru

    Mjanja kanaswa acha akome hana Jipya hata huko Bunda taabu
  4. keteka

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Mh.Dkt.lucas webiro Bunda vijijini
  5. keteka

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Mh.Dkt.lucas Webiro ameogoza Kura maoni uko Jimbo lazima Bunda
  6. keteka

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Akiongea msimamizi wa uchaguzi Bunda amesema Mh.Dkt.Lucas Webiro ameogoza kwa Mbali akifuatiwa ndg.Selemani Daudi na John Masenza wote kutoka Bunda
  7. keteka

    Kwa nini Bunda wamhitaji Mh.Dkt.Lucas webiro awe Mbunge wa jimbo la Bunda

    Dkt.lucas Webiro mzaliwa wa Bunda akuwa kiongozi pekee chadema asiyenamakundi amekuwa msaada kwa watu wa bunda matatizo ya ardhi hasa eneo la Kawaga lenye vijiji kumi kadokodo ya Seregeti amekuwa msaada mkubwa Bunda anasaidia watoto kupitia mfuko wa lea mtoto founfation amesaidia uchimbaji wa...
  8. keteka

    Hawa watatinga Bungeni baada ya Uchaguzi Mkuu October 2015

    Mh.Dkt.lucas webiro- jimbo la Bunda Mjini Babu wasira hagombei tena ubunge anakwenda kwenye urais jimbo kasha kabithi Ukawa kwa kamanda Dkt.lucas webiro eka ya bonda
  9. keteka

    Bunda tunahitaji dawati la ukombozi bungeni

    Huyu jamaa kajipanga kisawasawa mh.dkt.lucas webiroPhD komaa kamanda kazi ni njema Mungu akutangulie jembe
  10. keteka

    Bunda tunahitaji dawati la ukombozi bungeni

    Akiwa safari mkoani kangera alihojiwa na mwandishi wa habari juzi mahojiano; Mwandishi mh.unaitwa nani? Mh.mm naitwa Dkt.lucas webiro PhD Mwandishi.umejiunga lini na chama. Mh.nimejiunga tarehe14/03/1998 Mwandishi wa habari je umekifanyia nn chama chako. Mh.nimekitetea sana hasa kwenye shughuli...
  11. keteka

    Lucas Webiro apewa baraka na wazee wa Bunda

    Hii ndio wilaya ya kazi kwa mh.Dkt.lucas webiro anayesubili kupishwa bungeni hivi karibuni
  12. keteka

    Lucas Webiro apewa baraka na wazee wa Bunda

    Wakati ccm wilaya ya bunda wa kiendelea na kikao cha ndani hapa mjini wa hofi kukutana simba Mh.Dkt.lucas webiro waanza taratibu za kuwa mamawakala wa kuthibiti wafuasi wake hapa kila anayetoka nje hili jimbo ni la Dkt.lucas webiro hata sisi tunamuunga mkono hatutaki wachumia tumbo,watu wa...
  13. keteka

    Lucas Webiro apewa baraka na wazee wa Bunda

    Kaka ww simba si misukule ya ccm na hata ndani chama ww mbunge bila ww bunda kazi imekwisha hapa dkt.webiro
  14. keteka

    Lucas Webiro apewa baraka na wazee wa Bunda

    Mh.Wasira alihudhuria kikao hicho cha wazee na kupa nafasi Mh.Dkt.Webiro kuwa kiongozi wa ukoo kwa watu wa Bunda , na kila wakati zilisikika nyimbo za asili eka ibukile wibeze Mh.Webira eka yetu maana yake huyu ni simba kaeni mbali acha ongoze ni wetu na ni wa kwetu Mungu msaidie. Webiro ni...
Back
Top Bottom