Recent content by kessy kyomo

  1. kessy kyomo

    Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

    Kwa upande wa uwezo Mkandarasi anakidhi vigezo vya kimataifa kwani ni class 1 contractor in Building and civil works and also ana uzoefu wa kazi za ujenzi wa muda mrefu hivyo kwenye uzoefu wa job with similar work mkandrasi yuko vzuri pia ni Mkandarasi mzawa anafanya mradi mkubwa wa lami...
  2. kessy kyomo

    Lipumba: Usaliti unaitafuna CHADEMA, nikirudi watakwisha

    da hatari kumbe hakuna haja ya kusoma kana hawa type ya huyu bwana ndio vichwa vya hii nchi bora niendelee kulima huku kijijini kwangu sengerema.
  3. kessy kyomo

    Dodoma yasubiri baraka kuwa Jiji

    Dodoma ni pakubwa jamani halafu pamepangiliwa kimji zaidi huwezi ukaimaliza dodoma kwa miguu utoke st.john university uende Udom kwanza kuimaliza udom 2bkwa miguu ni issue kisha uende ihumwa jeshini hombolo bwawani uingie area a,area c,area d kisasa kisha utokee mailimbili,mnadani,mipango,madini...
  4. kessy kyomo

    TRA waifungia Sahara Media(Star TV, RFA) kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 4.5

    Dda so sad sasa sisi wa mwanza sijui tutaganyaje jamani!
  5. kessy kyomo

    Rais alizindua Mradi wa Maji Hewa Sengerema!? Wizara yatoa ufafanuzi...

    Mtoa post ngeleja kwake ni ibisabageni,busisi ni ukweni kwa magufuru yaani nyumbani kwa mama jesca, kweli issue ya maji sengerema bado haijakamilika sawasawa bado kizungumkuti ngoja tuone ahksante wadau mungu awabariki.
  6. kessy kyomo

    Ubungo: Meya azindua kituo kipya cha kieletroniki cha kulipa kodi za Halmashauri

    Meya jacob uko vizuri baba piga kazi kuwaletea wananchi wa ubungo kama raisvwetu anavyosema tufanye kazi 2 hongera.
  7. kessy kyomo

    TRA Mwanza hawakujipanga kodi ya Majengo

    Kwa nyumba ambazo zipo kwenye maeneo ambayo hayajapimwa na hazina hati za umiliki zinakuaje?
  8. kessy kyomo

    Imekuwaje Gorofa 1 ya TRA Chato ijengwe kwa bil 1.4 wakati Gorofa 4 UDSM zilijengwa kwa Mil 500?

    Vitu ambavyo vinapandisha gharama ya ujenzi 1.desgining yenyewe inawezekana ni underground na aina ya mgawanyo wa room kwa maana ya vijiofisi 2.Aina ya udongo kuna kipindi unatakiwa utoe udongo uliopo kama haufai 3.Gharama na aina ya vifaa vya ujenzi(upatikanaji wake na bei ya soko kwa muda huo)...
  9. kessy kyomo

    Kwa wanaomfahamu vizuri mbunge Hawa Ghasia wanisaidie

    Kumbe alikuwa anakwiba miradi ya barabara ya kina ndugai kanda ya kati na kupeleka kwao mtwara basi yuko vzuri ndugai yeye anashangaa 2 anamuwaza Lisu muda wote huku miradi ikiibiwa na mwanamama bi.hawa
  10. kessy kyomo

    Mfahamu Mtanzania Andrew Chenge ambaye huwa anahusishwa kwenye kashfa nyingi

    Du the big man hon.endrew chenge kichwa cha sheria kutoka havard university
  11. kessy kyomo

    Bajeti 2017/2018: Ukweli kuhusu kiasi kilichoongezwa kwa lita baada ya road licence kuondolewa

    Hivi jamaa anakwambia umekata motor vehicle au umekata road licence tofauti yake nini bandugu?
  12. kessy kyomo

    Kuondolewa Motor Vehicle Licence janga kwa wananchi wa kawaida

    Naomba mnisaidie mfano nina gari yangu nimeipaki haijalipiwa road licence now ni miaka 4 sasa itakuwaje ndugu zangu naomba majibu ahksante
Back
Top Bottom