Rais alizindua Mradi wa Maji Hewa Sengerema!? Wizara yatoa ufafanuzi...

Hivi inawezekana vipi uzinduzi wa mradi wa maji usiwe na bomba linalotoa maji na watu wakashuhudia?
Bomba kutoa maji ya kuzindulia ni kitu kidogo sana, jaza maji tank dogo la lita 200 kwenye nyumba ya jirani kisha elekeza bomba kwenye eneo husika.
 
Kwahiyo tumeshindwa kabla hatujaanza?? Katika vitu vinavyopatiwa ni kuweka wakosoaji wa serikali ndani! Kwa hilo tumeendelea na kidunia tutakuwa moja ya vinara
 
Yeye mwenyewe msanii, anajua Kama hayatoi maji..

Mkumbo cyo karibu mkuu wa wizara ya nishati na madini
 
Mtoa post ngeleja kwake ni ibisabageni,busisi ni ukweni kwa magufuru yaani nyumbani kwa mama jesca, kweli issue ya maji sengerema bado haijakamilika sawasawa bado kizungumkuti ngoja tuone ahksante wadau mungu awabariki.
 
Aisee kweli ccm ni ileile

Ukisikia nchi bado ina watu wengi wenye matumizi hafifu ya akili zao usibishe.Watumishi wa serikali wote ni wanachama wa CCM? nani anatekeleza mradi huo ni serikali au Chama cha siasa,wakifukuzwa kazi mnalia Magufuli dikteta.
 
Kuna mtu alinistua kwamba hata mzinduaji alijua anazindua hewa , ila aliamua kuwadanganya WALA MAPANKI , maana taarifa zinadokeza kwamba ni wepesi sana kushangilia hata madudu ili mradi mtoa madudu hayo awe wa KUNYUMBA .
Vijana mmeishiwa hoja....huko Sengerema hujawahi kufika yaani mnadanganyana humu...
 
Back
Top Bottom