mkuu swala la wao walitoa majibu au hawakutoa maijibu sio mahala pake , nyie c wawazi na haitoshi mkakazia na uzalendo !!!! chanzo chenu cha mapato ni nini??
kiongozi unaweza kuthibitishaje kwamba uelewa wa mh JK ni mpana sana kisiasa ? maana nikiangalia hata upande wa chama chake alipoingia madarakani na sasa anajiaandaa kung'atuka khali ya kisiasa hasa upande wa ccm sio nzuri .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.