Recent content by Kesho vp

  1. Kesho vp

    Waliomteka Mo Dewji walikuwa 'Well Organised, well informed , financially stable and highly committed'…

    Hawa ni wale wasiojulikana kamba ya kumteka wamesiteka cctv halafu ndyo wamteke mtu
  2. Kesho vp

    Dewji hana Hela Cash, siyo Bilionea kihivyo!

    Unaadika kama the arua haina ata ushahidi angalau ungetaja shamba hilo
  3. Kesho vp

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Ishu kwenda policy na sms iyo mawasiliano haitakusaidia ndyo wenye dhamana Voda watazaidiana
  4. Kesho vp

    Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Kwa mkatholic Ndoa ni Sankranti ya makubaliano ya watu wawili mtu mme na mke kuishishi pamoja mpaka mpaka Mungu awatenganisha hiyo wito si lazima wala si kutafuta funga toa sadaka ya kweli na kusali ktk roho na kweli c lacima uolewe unaweza ukawa mtawa au ukajitolea kutumikia Mungu inge kuwa...
  5. Kesho vp

    Mwita Waitara: Ntaipasua CHADEMA vipande vipande wakiendelea kunifuatilia

    Si aseme anamtishia nani kwani yeye wa kwanza kuhama siasa Sera c vitisho Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kesho vp

    Tetesi: Serikali yadaiwa kumvua uraia Padri wa Kanisa Katoliki

    Hakuna uhuru wa kuhoji Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kesho vp

    Kwa nn baadhi wanawake wanachukia baadi wakati wakiwa wajawazito

    Ni tatizo ngani inawapelekea wawe wanachukia baadhi watu pindi wanapokuwa na mimba na wakijifungua tu wanakuwa sawa anaweza chukia ata ndg yake mme wake au mtu yeyote laini hali iyo inakuwa tofauti kwa mimba tofauti wanaoelewa niambieni
  8. Kesho vp

    Nini Kiliikuta Jimbo Katoliki la Mbulu!

    Hilo ata si tatizo mbali haijafika Muda tu
  9. Kesho vp

    Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Acha ubanguzi wa ukabila ,kidini, kiumbo ,kielimu, Rejea 1kor13:1-13 Hakuna mkatolic anayetafuta Mme/Mme mtandaoni mbali kufunga kusali na kuomba Ebu kabla hujatoka kanisani Mwambie yesu wa Ekaristi naomba nipatie Mme w mapenzi yako ee Mungu wangu katika roho na kweli nakwambia haitapita mwezi
  10. Kesho vp

    Serikali iwe makini na Lissu maana hana cha kupoteza

    Kumtuliza lisu n kumsaidia ktk matibabu yake na kufanya uchunguzi wa haraka ya waliompiga risasi na kuwakamata ili kuondoa dhamira inayomjengea chuki unapomnyima haki yake kutibiwa ata kama hajafuata sheria si yeye aliefanya mamunzi usipotoshe umma kuwa anatumia na hawa wanaotu tusi kumbuka...
  11. Kesho vp

    Maono: Mahojiano ya Azam TV na Tundu Lissu

    Si walitahadharishwa wasifunje Sheria Lissu ametumia taaluma ya Yake kwnn wasifate sheria waende kumbuka hawajaambiwa wasiende iyo n suala yaisha ya Mtu siyo kisiasa lasima tahadari ichukuliwe na Dereva akiachiwa aje kuwekwa mabusu wakati wa upelelezi na kuteseka huko Polisini kubaya ata...
  12. Kesho vp

    Ushauri: Nimeachwa na mwanamke niliyekuwa nampenda sana

    Achaga upendo wajazba kuachana jambo LA kawaida 2
  13. Kesho vp

    CCM wamemchukua Askofu Pengo, Mungu ametupa Dr. Munga, Niwemugizi na Dr. Shoo

    Ya kaisare mpeni kaesare pengo ni baba kiroho Ila kisiasa hatuwezi mfuata
Back
Top Bottom