Recent content by Kerosine Bal

  1. Kerosine Bal

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Umejibu vizuri sana. Hongera
  2. Kerosine Bal

    Bei za mabalo ya mtumba

    Bale la men jeans grade A sh ngapi na kunakuwa na pcs ngapi?
  3. Kerosine Bal

    Nyuzi muhimu za mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi Jamvini

    Kama sijakosea utakuwa unamaanisha ChatGPT
  4. Kerosine Bal

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Boss, Post nimekwenda, hakuna.
  5. Kerosine Bal

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Niliagiza ebay. Baada ha hapo sijui nafanyaje. Sijui nasubiri simu au post au ?
  6. Kerosine Bal

    Msaada: Nina kwikwi kwa wiki mbili sasa, naomba kufahamu dawa yake

    Mrejesho; kama nilivyokuja kuomba msaada wa mawazo kutokana na KWIKWI kunishika kwa siku kadhaa Nilijaribu kila kitu nilichoshauriwa 1. Kunywa maji - ilikuwainasaidia kwa muda tu 2. Sukari - kwa muda 3. Hospital nilikwenda nikapata dawa na vipimo juu lkn iliendelea 4. Matunda (matango) - baada...
  7. Kerosine Bal

    Msaada: Nina kwikwi kwa wiki mbili sasa, naomba kufahamu dawa yake

    Kuna watu kadhaa wamenieleza hilo, nimeanza maombi ndg yangu
  8. Kerosine Bal

    Msaada: Nina kwikwi kwa wiki mbili sasa, naomba kufahamu dawa yake

    Habari, kwikwi inanisumbua siku ya pili sasa. Nimekunywa maji mengi, sukari nimeramba lakini bado tuu. Naombeni msaada
  9. Kerosine Bal

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hatimaye na mimi nimepata huduma ya mwamba geosir nimetest kabisa hii
  10. Kerosine Bal

    Je, JamiiForums imekusaidia nini kutatua changamoto zako au kupata maarifa zaidi/kujifunza?

    Kama uzi unavyojieleza Nianze na mimi binafsi nilijiunga JF miaka kadhaa nyuma kwa mkumbo wa washkaji. Niliendelea kujifunza kwa kuuliza maswali hasa changamoto zilizonikabili; 1. TANESCO Changamoto yangu ya kwanza ilikuwa kuweka umeme nyumbani kwangu. Kama mjuavyo enzi zile umeme unakaa miezi...
Back
Top Bottom