Mkuu, maisha ni fumbo kubwa sana.
Hata
- Mshahara wa TCRA sio sawa na BRELA (Zote ni Taasisi za Serikali)
- Mshahara wa EWURA sio sawa na RITA (Zote ni Taasisi za Serikali)
- Mshahara wa TIC sio sawa na TCU (Zote ni Taasisi za Serikali)
Na hata ukisema uhamie huko TCRA, EWURA, TIC...
Kwa mwezi naweza tumia mpaka 400-500GB depend na mwezi, nafanya kazi mostly online plus online gaming na naona wachangia wengi hapa wana-base sana na mbps while kwangu PING also ina matter.. kushusha game za PS4 za PS PLUS each month zipo 4 mpaka 3 zinaweza tafuna hata 300GB.
Anyway ngoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.