Recent content by kepha joseph

  1. kepha joseph

    Nauza vifaranga vya kuku mwezi mmoja pamoja na kutoa mafunzo ya kufuga kibiashara

    Mawasiliano 0694103055 ofisi yangu ipo mwanza nyakato
  2. kepha joseph

    Nauza vifaranga vya kuku mwezi mmoja pamoja na kutoa mafunzo ya kufuga kibiashara

    Habar zenu ndug wana Jamii forum kama mada inavyojieleza hapo juu mimi ni kijana mjasiliamali ambaye ni mzoefu pia mmiliki wa KP FARM ninauza wa vifalanga vya kuku kienyeji na chotara wa umli wa mwezi mmoja pia ninatoa mafunzo ya ufugaji kibiashara kwenye taasisi,kampuni,vikundi,mtu binafsi...
  3. kepha joseph

    Nauza vifaranga vya kuku mwezi mmoja pamoja na kutoa mafunzo ya kufuga kibiashara

    Habari zenu ndug wana JamiiForums, Kama mada inavyojieleza hapo juu mimi kijana mjasiliamali ninaye jiusisha huduma uuzaji wa vifalanga vya kuku wa kienyeji na chotara wa mwezi mmoja na vilivyo na chanjo pia ninatoa mafunzo kwenye vikundi, taasis, mtu binafsi juu ya ufugaji kibiashara hasa...
  4. kepha joseph

    Kwa wafugaji jipatie maalumu za kulea vifalanga

    𝗠𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗡𝗢( 5) 𝗬𝗔𝗡𝗔𝗬𝗢 𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗜𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗞𝗢𝗦𝗘𝗙𝗨 𝗪𝗔 𝗝𝗢𝗧𝗢 𝗞𝗪𝗔 𝗩𝗜𝗙𝗔𝗥𝗔𝗡𝗚𝗔 [emoji2389] 𝐕𝐈𝐅𝐀𝐑𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐒𝐓𝐑𝐄𝐒𝐒 [emoji2390] 𝐕𝐈𝐅𝐀𝐑𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐊𝐔𝐊𝐎𝐒𝐀 𝐇𝐀𝐌𝐔 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐋𝐀 [emoji2391] 𝐕𝐈𝐅𝐀𝐑𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐊𝐔𝐃𝐔𝐌𝐀 [emoji2392] 𝐕𝐈𝐅𝐀𝐑𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐕𝐈𝐂𝐇𝐎𝐌𝐈 [emoji2393] 𝐕𝐈𝐅𝐎 𝐕𝐈𝐍𝐆𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐕𝐈𝐅𝐀𝐑𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐇𝐈𝐓𝐀𝐉𝐈 𝐘𝐀 𝐓𝐀𝐀 𝐙𝐀 𝐉𝐎𝐓𝐎 𝐙𝐀 𝐊𝐔𝐋𝐄𝐀...
  5. kepha joseph

    Aina bora za mashine za kutotoa vifaranga na bei zake

    umeshaipata mkuu mimi ni fundi wa hizo mashine kalibu
  6. kepha joseph

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji

    kalibu tufanye biashara na mimi nipo mwanza
  7. kepha joseph

    Wapi nitapata kazi ya malipo ya 5000 kwa siku?

    mimi naitaji kiongozi nipo mwanza
  8. kepha joseph

    Natafuta ufadhili wa kazi za ufundi wa vitotoleshi (incubator machine)

    Habari wanajukwaaa kwa wale wenye mashamba mifugo kama kuku, bata, kanga n.k mimi ni fundi wa kuunda vitotoleshi vinavyotumia nishati ya umeme, sola, geneleta pia ni nina ujuzi wa kulea vifalanga na kuhudumia mifugo Hivyo mtu anayehitaji kijana wa kusimamia miladi yake kijana wa kazi nipo...
  9. kepha joseph

    Naombeni connection za kazi kuhusu ufundi wa incubator mashine

    Habar wadau wa jukwaa hili kama ujumbe wangu jinsi unavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana ambaye kitaaluma ni fundi umeme, ila nimejikita kwenye ufugaji kwa muda sasa hasa ufugaji wa kuku kienyeji na chotala pia nimepata uzoefu wa kutosha kuhusu magonjwa na chakula kwa kuku vile vile kupitia...
  10. kepha joseph

    Ushauri wa haraka: Kuku wameanza kufa kwa kasi

    Mbona umeenda mbali ndug yang hapa hakuna yoyote aliye logwa tunajalibu tu kuelimisha na kujenga hoja sina makasiliko na mtu mim...sababu yesu yuko ndani yang
  11. kepha joseph

    Ushauri wa haraka: Kuku wameanza kufa kwa kasi

    Siwezi kutumia nguvu kubwa kubisha na wewe hacha kukaza fuvu mjomba naishi kwa kula na kunywa kwa kaz hii hukisema sina kuku ni sawa maana sio kaz kukusibitishia.
  12. kepha joseph

    Ushauri wa haraka: Kuku wameanza kufa kwa kasi

    Gongo tena!! acheni kabisa mizaha kwenye mifugo alafu akili ya kuambiwa changanya na zako sio kila unaweza kupokea kikawa kitu sahii kwako
  13. kepha joseph

    Ushauri wa haraka: Kuku wameanza kufa kwa kasi

    Hapo kwenye andiko lako naona umetaja chakula na dawa tu ambazo unazopaga kuku wako ila chanjo sijaziona umetaja hivyo kama haukuzingatia utalatibu wa chanjo tatzo ndio linaanzia hapo husiangaike kumtafuta mchawi
  14. kepha joseph

    Wapenzi wa push-ups & squats

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Noma kweli
Back
Top Bottom