Recent content by Kenyan

  1. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAHARUKI KENYA: Raia avamia jukwaa la Rais William Ruto akiwa anahutubia Kilifi. Je, usalama wa Rais una udhaifu?

    Mwananchi mmoja (raia) amevunja itifaki na vizuizi vya kiusalama, kisha kukimbia na kuvamia jukwaa ambalo Rais William Ruto alikuwa akitumia kuhutubia wananchi huko Kaunti ya Kilifi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo vya habari vya Kenya, tukio hilo liliibua taharuki ya muda. Walinzi wa Rais...
  2. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Blood, Tea, and Geopolitics: Inside Kenya’s Dangerous Dance with Moscow

    When Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi boarded his flight to Moscow this week, the official press releases spoke the sterile language of diplomacy: "bilateral engagements," "labour mobility," and "economic ties." But beneath the polished veneer of statecraft lies a dark and urgent crisis...
  3. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Silent Danger in Kenya's Medicine Cabinets: How Overusing Painkillers Leads to Kidney Disease

    Chronic kidney disease is quietly becoming a major public health crisis in Kenya, currently affecting an estimated four million people—roughly one in every ten Kenyans (according to Dr. Sokwala, an associate professor of Nephrology at Aga Khan University’s Medical College, and consultant...
  4. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Idadi ya watumiaji wa bangi yaongezeka maradufu Kenya

    Tafiti mpya iliyofanywa na mamlaka ya kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya NACADA imeonesha kuwa watumiaji wa bangi wameogezeka maradufu katika kipindi cha miaka 5. Kwa mujibu NACADA, mtu mmoja katika kila watu 53 walio na umri wa kati ya 15 - 65 ni mraibu wa bangi. Wanaume wanaongoza kwa...
  5. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ombi la kupiga marufuku mtandao wa TikTok lawasilishwa Bungeni

    Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula leo amepokea ombi rasmi la kutaka kupiga marufuku matumizi ya mtandao wa TikTok, kwa madai kuwa mtandao huo unatumiwa vibaya na Vijana kueneza uchafu na anasa hasa nyakati za usiku. Ombi hilo limewasilishwa na Afisa Mtendaji wa Kampuni ya Briget connect...
  6. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto atinga saa ya mkononi yenye thamani ya Shilingi milioni 111.

    Rais William Ruto ameibua mjadala mitandaoni baada ya wataalam wa saa za mkononi kufichua kwamba alivaa saa kutoka kwa kampuni ya Jaeger Coultre yenye thamani ya Shilingi milioni 6.4 za Kenya ambazo ni sawa na milioni 111,565,761 pesa za Tanzania.
  7. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta aagizwa kurejesha bunduki zote familia yake inazomiliki

    Serikali ya Rais William Ruto imemuagiza Rais mstaafu Uhuru Kenyatta na familia yake kurejesha silaha zote wanazomiliki kama familia ya Kenyatta. Familia hio inatarajiwa kurejesha jumla ya bunduki 28 wanazomiliki tangu enzi za babake mzazi Hayati Rais Jomo Kenyatta.
  8. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya waanzisha vita mtandaoni (Twitter) dhidi ya Watanzania

    Baadhi ya raia wa Kenya katika mtandao wa Twitter wameonekana kukerwa na kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan juu ya athari ya maandamano yanayoendelea kushuhudiwa. Rais Samia alisema kuwa Tanzania imekuwa ikipokea idadi kubwa ya wawekezaji tangu mwezi Juni kutokana na 'moto' mkubwa unaoshuhudiwa...
  9. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga akiri kuugua homa kali

    Hatimaye Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga amevunja ukimya baada ya kutojitokeza hadharani kushiriki maandamano. Raila ameeleza kuwa alilazwa baada ya kuugua homa kali. “Niko na homa mbaya sana ambayo ilinipiga na ikanilaza chini. Nimepata matibabu kutoka kwa daktari na sasa ninazidi kupata...
  10. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya washinikiza askari huyu akamatwe

    Wakenya kwenye mitandao ya kijamii wametoka rai kwa Inspekta Jenerali wa Polisi Japheth Koome kumkamata askari huyu aliyenaswa na kamera mara tu baada ya kumpiga risasi mtu mmoja kwenye maandamano ya Jumatano katika eneo la Mathare, kaunti ya Nairobi. Baadhi ya watu katika mtandao wa twitter...
  11. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa Mbunge Babu Owino aiomba Serikali kumuachumia huru mumewe

    Mbunge wa Embakasi Mashariki Mheshimiwa Babu Owino angali bado anashikiliwa na polisi katika kituo cha Polisi cha Wanguru kilichoko kaunti ya Kirinyanga, Mke wake Fridah Ongili amethibitisha. Owino ambaye ni mwandani wa karibu wa Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga alikamatwa Jumanne jioni katika...
  12. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Kiongozi wa Mungiki Maina Njenga akamatwa

    Kiongozi wa zamani wa kundi haramu la Mungiki Maina Njenga alikamatwa nyumbani kwake eneo Kiserian usiku wa kuamkia Alhamisi. Aidha kakake Njoroge Njenga pamoja na msaidizi wake Ole lekishe walitiwa nguvuni usiku uo huo. Kwa mujibu wa Mwanasheria wake Ndegwa Njiru, haijabainika wazi kituo cha...
  13. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari kubwa za magazeti ya Kenya leo Julai 20, 2023

    Karibu utupie jicho yaliyomo kwenye kurasa za mbele ya magazeti leo Julai 20, 2023. Inasadikiwa wahariri wakuu wa magazeti walifikia makubaliano ya kutumia kichwa kimoja cha habari, kutoa rai kwa raia kudumisha umoja na amani. Ikumbukwe maandamano yanatarajiwa kuendelea Leo na kesho.
  14. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shule kufunguliwa kesho Julai 20, 2023 baada ya kufungwa sababu ya mgomo

    Wizara ya elimu imetangaza kuwa masomo katika shule za kutwa zilizokuwa zimefungwa leo katika kaunti za Nairobi, Kisumu na Mombasa yatarejelewa kesho Alhamisi. Awali Serikali ilitangaza kufunga shule hizo kutokana na vuguvugu la maandamano linaloshuhudiwa nchini lakini sasa imeeleza kuwa...
  15. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga yuko wapi?

    Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga pamoja na Viongozi Wakuu wa Muungano wa Azimio akiwemo Martha Karua hawajulikani waliko. Vilevile Wabunge kadhaa wa Muungano wa Azimio akiwemo Mheshimiwa Babu Owino wangali bado kujitokeza hadharani. Haijabainika wazi iwapo ni mpango wa Raila kutojitokeza...
Back
Top Bottom