Recent content by kenyamanyori

  1. K

    Kufunga kula kila baada ya muda fulani katika wiki hurefusha maisha na kuzuia magonjwa

    Ni kweli kufunga kula ni tiba sahihi sana. Lkn pia watu tuachane na matumizi ya sukari. Sukari haina faida yoyote katika mwili wa binadamu. Watoto tusiwaharibu kwa kuwapa sukari ili wazoee tangu utotoni.
  2. K

    Mbuga ya Burigi - Chato

    Acheni Uzwazwa kama Rais anafanya vizuri tunaisifu. Kuna shida gani chato kuwa na uwanja wa ndege. ACHA HIZO mlizowafanyia wanaserengeti mpaka kukosa uwanja wa ndege kwa wivu tuu!
  3. K

    Chato Airport, Geita: Rais Magufuli ampokea Rais Uhuru Kenyatta anayefanya ziara binafsi ya siku 2 nchini

    RAIS KENYATTA NDIYE KIONGOZI WA EAST AFRICA ANAYEWEZA KUWA RAIS BORA WA EAST AFRICA COMMUNITY.
  4. K

    Wadhamini wa Lissu watakiwa kufika Mahakani kuelezea afya yake

    Mahakama ya Tanzania inajidharirisha! Na hii ni dhahiri mahakama yetu haiko huru kabisaa. Mahakama inatumika kwa MASLAHI ya Serikali.
  5. K

    Fastjet wazuiwa kuingiza ndege mpya. Wanyimwa vibali, watakiwa kuondoka

    USHAURI WA BURE KWA VIONGOZI WA SERIKALI HUSUSANI MAWAZIR, WAKUU WA MIKOA NA WILAYA : KATIKA SIKU ZA HIVI KARIBUNI KUMEKUWA NA MATAMKO YA KIBAGUZI. INAONYESHA KUWA WENGI WAO WANADHANI WAMETEULIWA KUONGEZA SEKTA ZA UMMA TU. LKN UKWELI NI KWAMBA UKIWA WAZIRI WA ELIMU, AFYA, ARDHI N.K WEWE NI...
  6. K

    Fastjet wazuiwa kuingiza ndege mpya. Wanyimwa vibali, watakiwa kuondoka

    NI HABARI MBAYA SANA! NILITEGEMEA SERIKALI KUSHUKURU NA KUPONGEZA KAMPUNI BINAFSI KWA KUZIBA MAPENGO MENGI KAMA IFUATAVYO : 1. VYOMBO VYA HABARI HUSUSANI TVS 2. USAFIRI WA ANGA, NCHI KIVUVANI NA BAHARINI. 3. HUDUMA ZA KIJAMII; AFYA, ELIMU NK 4. HUDUMA ZA FEDHA NA BIMA 5. UTALII 6. NISHATI...
  7. K

    Waombaji 25532 wa mikopo elimu ya juu wapata awamu ya kwanza

    Hapa ndipo CHADEMA Inatofautiana na ccm. SERA ya Chadema ni kutoa mikopo kwa wanafunzi wote waliodahiliwa kuingia vyuo vikuu tena bila ya ukaguzi.
  8. K

    Namuona Zitto Kabwe akigombea Urais 2020 kwa tiketi ya UKAWA. Wakati Utaamua

    LIZABONI WEWE NI CCM UTUONDOKEE HAPA. SHINDWA NA LEGEA !
  9. K

    Wamebadilika: Bashiru, Mkumbo,Polepole, Kabudi kauli zao kabla ya uteuzi na baada ya uteuzi juu ya katiba mpya

    HAO WAMEZINGATIA MAADILI YA KIAFRIKA NI "MAKOSA KUSEMA SEMA WAKATI UNAKULA"
  10. K

    Dodoma: Wanafunzi wa shule ya msingi Chamwino wawalawiti wenzao

    UKUBWA WA TATIZO HILI HAPA TZ, UARABUNI NA INDIA HALAFU WATU WENYE DHAMANA NA MAISHA YA WATOTO WANAFANYA MZAHA ATI WANAWAACHIA AKINA NANII???????
  11. K

    Kwanini CCM inakataa sukari ya Zanzibar na kuagiza ya Brazil? Na walisema ipo ya kutosha wanayoagiza wanapeleka wapi?

    serikali hii haihitaji/haitaki kulisha wananchi sukari iliyo-expire kupitia znz.
  12. K

    Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    SIKU YA MAANDAMANO NILISEMA DUNIANI KOTE WAFANYAKAZI WAMEKUWA CHACHU YA MABADILIKO YA KIDEMOKRASIA NA KIMAENDELEO. LAKINI WAFANYAKAZI WA TANZANIA WANATAKA WANASIASA NA HUSUSA WA UPINZANI WAWALETEE MABADILIKO HII HAIPO KABISA. BINTI MAGE ALIANISHA MADHUMUNI YA MAANDAMANO YA KITAIFA NA HAKUWA NA...
  13. K

    Ndege kubwa ya abiria kutua uwanja wa ndege JNIA ni hatua kubwa, lakini itufunze kuwa na vipaumbele vyenye tija

    Kumbe zile hela za Chato Airport zingewekezwa kwanza JNIA, KIA na MZA. La pili serikali ilitakiwa kutoa offer ya hao wageni kwenda Serengeti a National Park bure!
  14. K

    Mauaji ya Akwilina: DPP afunga jalada la kesi baada ya Jeshi la Polisi kushindwa kubaini mhusika wa mauaji

    Kumbe sasa wanyonge Nchi hii aliyopigania Baba wa Taifa kwa uhai wake wote Hawana HAKI Tena!
Back
Top Bottom