Recent content by kentash

  1. kentash

    *msaada please*

    nina wiki sasa cpatikan hewan cm yangu haisomi network,,jamani naombeni hizo kodi namba ili ni ulock Telstra F165,nami niwe hewani
  2. kentash

    *msaada please*

    habari,nimegoogle sana,mpaka nimechoka naomba msaada ku unlock cm yangu nikiweka laini inaonesha "NO SERVICE" simu ni Telstra F165 IMEI no.357407010188247
  3. kentash

    Nini ni tishio kubwa la usalama wa compter yako?

    sawa mzazi nimekupata,,hasahasa hapo ktk ku backup data,wazo zuri na njia salama hata me mwenyewe sikujua ila from now ndo itakua njia yangu ya kuhifadh data
  4. kentash

    Wasanii 13 wa taarab wafa ajalini

    kinyago cha mpapure nyamaza nikustiri...!ni moja ya mashairi ktk wimbo wa majeruhi wa ajali iliyoua wasanii wa kundi la 5 star..mwanahawa ally..pole sana mama ndio dunia
  5. kentash

    Wasanii 13 wa taarab wafa ajalini

    kazi yake mola! Haina makosa,atafanya awezalo,atafanya atakalo kwani dunia ni yake na hakuna ashindwalo..mungu azilaze roho za marehemu pahala pema peponi amin
  6. kentash

    ukweli kuhusu KLOROKWIN

    kila msimu huja na kuondoka inamana ukiwa juu,kifuatacho ni kudondoka.,duuu.! Huyo jamaa nae ipo tu day yake..
  7. kentash

    PAKA SHUME AMECHINJWA JAMANI!!! Balaa Gani HII

    wizi m2pu...hawana jipya...
Back
Top Bottom