Recent content by kennychilala

  1. K

    Ukweli ni kwamba Magufuli alikataa kata kata boti za Azam kwenda ziwa Victoria

    kasome tena taarifa. ugomvi wa magufuli na dewji ilikuwa ni boti yote nzima kama ilivyo ipitiswe kwenda mwanza na sio parts maana yeye alisema ukitaka kupitisha hapa Tanzania ikatekate kisha ukifika mwanza uinganishe tena
  2. K

    Makapi yaivuruga CHADEMA Monduli

    aligombea nn?
  3. K

    Hatimaye Ahmed amekuwa maarufu ghafla duniani Obama na mmiliki wa facebook wamemualika

    mbona umesahau kutaja Ant- Baraka NLRA au kwa kuwa hivi ni vikundi vinavyotumia dini ya kikristo. Ugaidi hauna uhusiano na dini bali mabepari wachache wanatumia kigezo hicho kwa matakwa binafsi ya kibiashara
  4. K

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    kama upo karibu na madeleva wa bodaboda. tengeneza kibox cha wavu wa chuma chenye ngazi tatu pamoja na myororo wa chuma ili kufungia akikisha unabagain na fundi chuma akutengenezee kwa bei isiyozidi laki moja na hamsini. kisha tafuta sehemu ya kuweka hilo box. nunua box moja la oil kwa sh...
  5. K

    Biashara ya Toyo ikoje?

    ni kweli ndugu. hapo kuna assumptions zimetumika kama shida ya maji eneo usika pili muhusika hategemei hiyo toyo kuendesha maisha yake tatu kama atauza ndoo kati ya mia nne na 500
  6. K

    Biashara ya Toyo ikoje?

    Yale matank meupe ya square yana Lita 1000 sawa na ndoo 50 za Lita 20
  7. K

    Biashara ya Toyo ikoje?

    toyo kwa maana ya pikipiki ya kubeba mizigo inauzwa kati ya 3.4 m na 3.7 inategemea wapi upo kwa mkoa wa dar hesabu kwa siku ni 15000 sina taarifa kwa mikoan. ila ukitaka kupata faida nunua pamoja na tank la maji la lita 1000 na pumpu moja ndogo ya laki moja na nusu kisha mkabidhi dereva likiwa...
  8. K

    CCM waanza kupepesuka Arusha, wakusanya vijana wao kuandamana Arusha kuipinga CHADEMA

    Jana mlisema polisi wametoa kibali waandamane hadi ikulu lakini mwisho wa siku tukaona polis walizuia maandamano yale hivyo ata haya sifikiri kama polisi wameruhusu. Chadema mchezo wa kupandikiza wanachama feki wa CCM kisha wachome kadi mlifanya sana sasa wenzenu wanaporudusha mashambulizi...
  9. K

    Dr. Slaa hatanyamaza, hataishia hapo!

    nilimsikia Tundu Lissu alipokuwa anaonge na mwandishi wa habari kwa njia ya simu. Binafsi nimeshaganzwa na namna ambavyo alijibu maswali ya mwanahabari yule. Anaposema kuwa Kamati Kuu ilishampitisha Dr slaa tangu mwezi January na kurudia tena mwezi April, hapa anatoa tena kuwa kuna ubabahishaji...
  10. K

    CCM: Kura milioni 7 kibindoni hadi sasa, hataree sana

    kwa mujibu wa katiba atayepata kura nyingi ndio mshindi. pia ukumbuke wangombea wapo nane sasa kuwa na mtaji was kura million sita ni mtaji mkubwa.kwa kuwa vyama vilivyosimamisha wagombea vipo vyenye wanachama millioni moja ukiacha CCM na Chadema
  11. K

    Shule za Kata: Mkapa ndiye mwasisi, si Lowassa!

    Mimi ni mmoja wa wanufaika wa shure ya kata mwaka 2004 kipindi hicho lowasa alikuwa waziri wa maji. nakumbuka mwaka huo serikali ya mkoa wa dar-es-salaam ililazimika kubadili matumizi ya shule za msingi kazaaa ikiwemo shule ya msingi Jamhuri iliyoko mtaa wa jamhuri mnazi mmoja na kuwa Jamhuri...
  12. K

    Najitayarisha kujiunga na Chama cha Upinzani cha CCM punde baada ya mwakani

    Hebu Fanya utafiti wa kiuchumi katika halmashauri zinazoongozwa na chama tofauti na CCM kabla ya kuchanguliwa kwa chama hicho na baaada. Hakuna hukuaji wa kiuchumi kama mnavyokaririshwa. Vyama vyote tofauti na CCM havina watu wenye uweledi wa kutatua changamoto za jamii husika. Mfano CUF...
  13. K

    Najitayarisha kujiunga na Chama cha Upinzani cha CCM punde baada ya mwakani

    Hili ndio tatizo la watanzani mmekaaa kulalamika bila kureason. Hivi umewahi kujiuliza ni kiasi gani cha pesa unapoteza kwa kutumia muda wako kulalamika vitu visivyokuwapo?. Kama unaamini kila unaloambiwa pole sana. Weww kaa kijiweni piga soga wenzio wanajituma kusaka pesa. Utabaki kusema kuwa...
  14. K

    Najitayarisha kujiunga na Chama cha Upinzani cha CCM punde baada ya mwakani

    Kwa muda mrefu watanzania tumekuwa watu was kulalamika na kufuata maneno ya kulishwa na watu pasi kutumia uwezo binafsi katika kufikiri. Leo mtu amekaririshwa kuwa adui wa maendeleo yani ni ccm na yeye bila kujiuliza kwa akili binafsi na kwa njisi gani CCM imekuwa kwazo kwake kuendelea kisha...
  15. K

    Siiamini report hii ya majeshi 20 yenye nguvu zaidi Africa mwaka 2015

    Kuweni na akili mnalahumu nini. Ukisoma utagundua lank zimewekwa kulingana na idadi ya wanajeshi na vifaru na magari vita. Na sio uwezo wa mapigano
Back
Top Bottom