Recent content by kenny gel

  1. kenny gel

    Nini maana ya reuse content katika mtandao wa YouTube

    ikiwa mimi natengeneza video lyrics kipi napaswa kufanya na kuna baadhi ya channel mbona wanalipwa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kenny gel

    Nini maana ya reuse content katika mtandao wa YouTube

    Nina channel ya videos lyrics youtube nimeomba maombi ya kua monitizer kisha nianze kulipwa baada ya muda jibu likarudi wakiniambia reuse content ikiwa amna hata video mona ikiwa na copyright claim wa strike. Naombeni msaada lipi naweza fanya mana naona kuna baadhi ya channel zinafanya kazi...
  3. kenny gel

    Uliza swali lolote la kiufundi kuhusu Scania

    kama kipato chako cha chini nunua scania 113 ndo inafaa na mambo ya umeme yaliyo ndani yake si mengi kikubwa cha kuchunguza humo ni starter na alternator ndo vya msingi katika upande wa umeme na kama kipato chako cha juu waweza nunua scania r420 vitu vya kutazama humo ni vingi engine ecu, ligt...
  4. kenny gel

    Uliza swali lolote la kiufundi kuhusu Scania

    négative terminal (hasi) ndo waya unaopaswa kuanza kutolewa kwa usalama wa gari lako zidi ya mlipuko
  5. kenny gel

    Uliza swali lolote la kiufundi kuhusu Scania

    Nakaribisha maswali yote yanayohusiana na Malori aina ya Scania kwa tatizo la kiumeme tu.
  6. kenny gel

    umeme wa magari

    tabata
  7. kenny gel

    umeme wa magari

    ndio kagua brakes pads na wheel sensors gari haina gani
  8. kenny gel

    Tatizo la check engine

    je baada ya kuwaka iyo taa kuna hitilafu gaani imetokea kwenye gari maana iyo uletwa kwa taarifa kupitia sensor zlizopo kwenye engine 0672527017
  9. kenny gel

    Taa ya check engine

    ina kaa kwenye cylinder head mbele ya engine chini ya top cover
  10. kenny gel

    Gari yangu imekuwa nzito

    inawaka taa ya check engine kwenye dashbord? Na umecheki air cleaner,mfumo wa mafuta uko sahih i mean pump,filter ,nozle na kwenye umeme plugs. Aitoi moshi yani mweupe au mweusi? Kwa msaada wa ufundi 0672527017
  11. kenny gel

    kazi umeme wa magari

    je una uhitaji wa fundi bora wa umeme wa magari yawe madogo na makubwa? Wasiliana nami kwa no 0672527017
Back
Top Bottom