Kwenye engine kuna tatizo, fanya diagnosis.Wadau kama kuna fundi humu au mzoefu anijulishe jinsi ya kuchughulika na tatzo la check engine kuwaka mda wote.
Fundi alisema sensor tumebadili imekaa wiki tatizo limerudi
Gari ni Vits ya 1999
Mkuu mm nataka nikufundishe ufanye manually diagnosis mwenyewe bila kutumia mashine na utapata majibu ambayo ni best kama umepima na mashine au zaidi hata ya mashine.Wadau kama kuna fundi humu au mzoefu anijulishe jinsi ya kuchughulika na tatzo la check engine kuwaka mda wote.
Fundi alisema sensor tumebadili imekaa wiki tatizo limerudi
Gari ni Vits ya 1999