BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,248
Wakuu kwema?
Natumaini hamjambo.
Nilikuja na uzi humu ukisema taa ya check engine inawaka.
Sasa nimepeleka gari kupima kwa kompyuta imeandika hv:
Cam shaft position sensor circuit range.
Jamaa alichofanya akaizima taa na kuchomoa sensor na kurudishia tena.
Nikaondoka zangu.
Baada ya km 3 taa ikawaka tena.
Sasa sijui tubadilishe hiyo sensor maana inaonekana jamaa kama anabahatisha hv.
Sina uhakika kama hiyo sensor anaijua ilipo.
Msaada wakuu hiyo sensor inapatikana sehemu gan gari yangu ni vvti toyota runx