Recent content by kendal

  1. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa, anzisha chama kipya cha siasa (Advice to Dr. Slaa in public)

    Slaa apumzike tu, atafute mafuta ya karunguyeyee ajipake
  2. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa, Musoma mjini - Oktoba 11, 2015

    Nyie Rwanda mmekaribishwa juzi tu kwenye jumuiya ya Africa mashariki mnajifanya mtatutenga .pyuuu embu tulia uko ujenge nchi yako. Tunaakili timamu hatufanyiwi maamuzi na MTU yeyote yule
  3. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    Hata kama ni kudeki, tunadeki kwa raha zetu hatugombwi. Tumempenda wenyewe. Kwani mlivyomdekia Obama barabara apite mlinyweshwa viroba. Tulieni nyieeee tufanye yetu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini habari za Mgombea Urais wa CHADEMA zinaonekana kuwagusa makundi ya watu wengi?

    Wewe kikwajuni one, usilazimishe mawazo yako yawe ya watu wote. That's wat we do. Hutaki fwataaaaaaa... , kila mtu anaangalia kile kinachomvutia machoni pake.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini habari za Mgombea Urais wa CHADEMA zinaonekana kuwagusa makundi ya watu wengi?

    Mimi pia hufanya hivyo hasa nikiwa na mambo mengi. Namsubiria lowasa akimaliza basii
  6. K

    JamiiForums Tanzania Monitoring thread: John Pombe Magufuli katika Awamu ya Nne

    Juzi tu slaa amethibitisha kuwa magufuli alihonga nyumba ya serikali kwa girlfrnd wake
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hongera mama Anna-ACT

    Ccmout
  8. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mara Yamkabidhi Lowassa Hati ya Ushujaa Uliotukuka

    Luv u lowassa my prezidaa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Arusha, Moshi kutikisika. Ujio wa Lowassa kuleta kitimtim

    Arusha nawaaminia...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Mama Regina Lowassa akiwa Same na Moshi Mjini

    First lady yupo vizurii ...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Barbara Ilifungwa. Rais Anachanja Mbuga Loliondo Porini

    Safi sana lowassa,
  12. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Fiesta jmn imeanza. Wamejiandaa kweli kwa arusha. Wasanii ni wengi Leo. Hatariiii
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusiamimi kuwa CHADEMA inaweza kuuza nchi?

    Jingalo umemsikiliza kweli mgombea urais ccm . gesi wamewaazima wachina kwa miaka saba. Pata picha ndani ya miaka saba tutabak na kitu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli suala la elimu Lowassa kasema bure hatutaki mikopo

    Huyo magufuli anatudanganya tu elimu bure wakati gesi wamewapa wachina kwa miaka saba. Bora lowassa aingie madarakani avunje huo mkataba. Watoto wetu wasome bureee
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusiamimi kuwa CHADEMA inaweza kuuza nchi?

    Hahah , kwani ukawa ndo imeuza gesi kwa wachina kwa miaka saba.!!
Back
Top Bottom