Recent content by Ken mwaikambo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar baada ya kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad?

    Haraka ya nini ndugu yangu hata kuzika hatujazika! au utataka mali za urithi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi duniani haina Mbunge Mpinzani?

    Kwaiyo nchi zote zenye wabunge wa upinza hazina maendeleo?usitumie makalio tumia kichwa kufikiri.
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lindi: Majengo ya Serikali yachomwa, magari yaharibiwa kisa Uchaguzi

    Watu wa Lindi mna nafasi yenu peponi.
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

    Ni Jambo la kushukuru Sana kwakweli maana ukandamizaji umezidi Sana.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Historia hii ya Wandali na Wanyakyusa imekaaje?

    Mtaka nyingi (nasaba) upata mwingi msiba[emoji23][emoji23][emoji23]
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumezidiwa hata na Malawi kwa design nzuri za barabara, TANROADS mnakwama wapi?

    Iyo ni lilongwe nilikuwa hapo mwezi wa pili ujenzi ulikuwa unaendelea.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lissu umeshindwa kupindua meza?

    Matatizo ya nchi hii hayaitaji nguvu nyingi kuwaeleza wananchi Kama unavyo dhani. Tatizo la ajira:watu wote wanajua Kama magufuli ameshindwa kutatua Hilo tatizo. Elimu:dunia unajua Kama magufuli ameshindwa kwenye elimu. Afya:dunia yote unajua Kama atufuli hana uwezo wa kuhakikisha Kila...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Shida kubwa hapo ni wageni sio covid. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

    Kwani amejificha wapi jaman? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Utapata ukienda ofisini kwao. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Malipo ya magari yenye plate number za Zanzibar kutumika Tz bara

    Ukiingiza gari kutoka znz utaratibu wake ni Kama umeingiza kutoka nchi jirani.utapewa document inaitwa TIP ambayo utakuruhusu kutumia gari yako ndani ya miezi (3) then utatakiwa kulipa ushuru au kila baada ya miezi (3) uwe unaigia znz na kutoka ili upate TIP ya miezi (3) mingine.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Uswahiba wako na Kagame unachefua

    Mahusiano ya Tanzania na Rwanda ni ya kiuchumi zaidi.kumbuka Rwanda wanatumia bandari yetu kusafirisha mizigo yao lakini pia kuna bidhaa nyingi za Tanzania zinaingizwa Rwanda kibiashara.
Back
Top Bottom