Wakati nipo kibaruani maeneo flani ya Tazara jijini Dar es salaam pale kazini kwetu kuna wafanyakazi wanakujaga kufanya kazi kama vibarua kulingana na uwepo wa kazi. Mara nyingi kazi zikiwepo wanaweza fululiza hata miezi miwili au mitatu wakifanya kazi kama kazi hamna inaweza pita hata miezi...
kuna makampuni ya kichina na ya kihindi yanafanyisha kazi watu masaa kibao na hawa machawa eti ma HR ndo wanaongoza kukandamiza watu na sheria wanazijua sheria za kazi masaa ya kufanya kazi ni saa nane na mda wa kula ukiwa hupo humo humo baada ya hapo kinachoendelea ni overtime ila kuna kampuni...
Unaanza kuongopa wakina zungu na salma dakota wakati wanamaliza kipindi cha Goodmorning habari ya asubuhi ndo walimpigia mshindi wa milion moja namba ikawa haipatikani wakapiga tena yale yale wakasema wanaondoka watamtafuta
Wakati sports arena inaanza wameanza na mihtasari ya michezo
. Tuzo ya...
Leo wakati natoka kwenye kibarua changu asubuhi nikiwa na rafiki yangu kituo cha vetenary nyuma kulikuwa na kundi la wanajeshi wamevaa nguo za kimichezo truck suit wakikimbia jogging nais ni wa jkt mgulani walitoka upande wa Tazara wakielekea sokota mim na mwenzangu tukavuka upande kutoka kulia...
Mim kuna nyumba nlikuwa nakaa ilifika kipindi tunapiga ngumi kabisa kwa sababu ya umeme mwenye nyumba akaamua kufunga hivyo vimeter kila mlango wa chumba
Tulichokifanya umeme ukiisha mnanunua umeme wote kila mpangaji labda kila mmoja unit 15 tunaweka labda mpo sita kwa hiyo itakuwa 15 x 6...
Hayo maneno unayoyasema ni Mkandara lufulu "lukoma abambeija" maneno mengi aliyokuwa akitumia yalikuwa ni ya kihaya mfano
Nyugunyu ni nyonga
Kanyampasila ni sehemu iliyobana mfano cell au mahabusu
Akakoimoza ni akakimbia
Dawa aina ya ntale ye ilungu dawa inayopatikana porini sana
Bunduki aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.