umenena mwanangu baadhi watu hasa watawala wanaogopa mabadiliko sijui kwanini.hawataki kwenda na nyakati kuna baadhi ya watu wanafikiri bado fikara za mwaka 1960 zanafaa 2013.Mungano wa sasa umetufaa kwa wakati huo lakini sio sasa.
Wakati mchakato wa katiba mpya unaendelea kuna baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa wameanza kusema hili tunalitaka hili atulitak,i kwani katiba mpya ni ya vyama vya siasa? Tunataka katiba mpya ambayo itaweza kuodoa kero za kiutawala,kero za kijamii, kero za muungano,kero za uchaguzi,kero za...
Katika vigezo vya wanafunzi wa shule za msingi na sekondary kushindwa kufauli mitihani yao, hasa nyakati hizi ni utovu wa nidhamu wa wanafunzi.Wanafunzi siku hizi wanalindwa kwa kila hali wasihadhibiwe na walimu wao baada ya kutenda makosa kwa kisingizio cha haki za binadamu.Uhuru waliopewa...
Wasomi wa kod,i nielimishe kuhusu kodi za magari chakavu yanayoagizwa kutoka nje ya nchi mara yapoingia bandarini DSM kwa upande wa TRA na TPA hadi gari inaingia barabarani.Elimu hii itanisaidia mimi na wenzangu wanaoagiza magari kisha wakashindwa kuyatoa bandarini kwa sababu ya kodi lukuki.
Zanzibar ikijitenga aitakalika kwani wazanzibar wanajigawa katika makundi tofauti tofauti kwa mfano kuna wapemba,waunguja kuna wazanzibara na hata waarabu wachache. baada ya kuvunjika muungano lazima wachinjane tu.huu muungano unawanufaisha wao kuwa salama na amani kutawala.Na wanaolilia...
Mazoea mabaya,baadhi ya watu hasa katika Tanzania yetu wanapenda kusikia maneno kutoka kwa viongozi waliowazoea si kwa watu wapya kama Esther Wasira au Zitto Kabwe nawengineo ndio maana kubadirika kiuchumi,kijamii na kisiasa itachukua muda mrefu katika nchi yetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.