Recent content by Kemoli

  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Shamba la Kufugia Kigoma(Kasulu DC au TC, Uvinza au Kibondo), Karagwe au Biharamulo au Kahama. Kukodi au Kuuziwa Kabisa.

    Ni mpaka nifike Ofisini kwao ama hata kufanya Mawasiliano ya email ?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Shamba la Kufugia Kigoma(Kasulu DC au TC, Uvinza au Kibondo), Karagwe au Biharamulo au Kahama. Kukodi au Kuuziwa Kabisa.

    Habari wanajamvi. Kama mada tajwa hapo juu. Natafuta shamba lenye ukubwa wa kuanzia hekari 20 hadi 100 kwa ajili ya kufugia. Vigezo! 1. Liwe na miti ya asili au vichaka au maotea/chipukizi za miti 2. Lisiwe na mgogoro wa aina yoyote 3. Muuzaji awe tayari kuonyesha nyaraka halali za umiliki wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Mara ni moja ya mikoa ya iliyo nyuma kimaendeleo katika nchi hii

    Fanya kilichokupeleka. Inaonekana hujatembea mikoa mingi hapa Tz. Mkoa wa Mara vijiji vyake karibia vyote isipokuwa Rorya ni kama Mjini. Barabara uhakika All seasons, Maji laini, usafiri uhakika. Usiku ni wa majambazi. Mwisho siyo kwa umuhimu nimefanya kazi Mara 9 yrs siwezi linganisha na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sekta za Kilimo, Mifugo na Afya

    Kwa tunapoelekea the Only Luxurious Business itagusa hizo Utatu mleta vitu. Afya, Kilimo na Ufugaji. Kwa nchi yetu yenye Mgando wa Ubunifu hela zetu bado ziko hapo labda mpaka miaka 100 mbele.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    CHALLENGES MAY INCLUDE BUT NOT LIMITED TO: 1. Inadequacy of Funding for implementation or running planned activities (hii itagusa hadi issues allowances za vikao, facilitation materials na transport) 3. Technology or supporting tools for the job be done 4. Administration/Management (Unfair...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Ndugu being A Freelancer neans you sell your service for only short term contracts. Mimi sifanyi Online Business though I sometimes guide my clients using online digital platforms. Huwa zaidi naomba kazi za remote hata nje ya nchi nikipata nafanya nalipwa kulingana na mkataba baina yangu na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Professional: Nutritionist and Public health expert Education: B.Sc. Nutrition-SUA and MPH from Texila American University Experience: 8+years in Managing health,Nutrition, WASH and Women Empowerment programs in INGO both in development and humanitarian contexts. Current: A Freelancer and...
Back
Top Bottom