Recent content by Kemchoo

  1. K

    Nimechanganyikiwa.

    achana nae utapata mwingine...though inauma!
  2. K

    Tapeli rachel atafutwe

    kuna tapeli mwingine anaitwa JOHN MALONDO anatumia email adress hr.haule@rocketmail.com anajifanya anafanya kazi exim bank kama HR msaidizi. Kuweni makini na email adress hiyo.
  3. K

    Nimfanye nini huyu kidudu mtu?

    daah, msamehe tu lakini huyo bidada
  4. K

    Nimfanye nini huyu kidudu mtu?

    kwani mkiweka appointment muonane alafu katikati ya muda tatizo likatokea mmoja akaahirisha kuonana huo ni uswahili..??na taarifa amekupa?? WAKISHUA unaonekana ulikuwa na kimulemule cha kuona siku hiyo..ulilipuka mbayaa(kidding)
  5. K

    Msaada interview ero link

    written..english ya form one eg unajua kutumia maneno kama under, whereby, on, therefore. Typing wanaangalia speed yako. Computer kama unajua kufungua folders na kusave. Itakusaidia kama umeitwa kwa ajiri ya customer care.
  6. K

    Natamani hata kunywa sumu, mapenzi jamani...

    hama iyo nyumba kapange kwingine itakusaidia...achana na huyo mburula
  7. K

    Beware with this

    dah watu hawana utu kabisa, ilimtokea rafiki yangu hiyo kwenye kazi za exim bank, jamaa tapeli anaitwa john malondo kwenye mshahara anataka laki tatu, alafu anajifanya anafanya kazi hapo kumbe alishafukuzwa kazi kitambo kwa sababu ya utapeli wake. Kuweni makini.
  8. K

    je unamidadi????

    hahahaa hapo lazima utamani kufunga wewe, midadi mingine hutokea kwenye gari unafunga break wakati gari anaendesha mtu mwingine
  9. K

    je unamidadi????

    jipu hutoi msaada hadi ujue jinsia...sawa me f
  10. K

    je unamidadi????

    MIDADI husababishwa na nini? Je ushawahi kupata hali hiyo? Any idea.
  11. K

    Wazazi naombeni ushauri wa haraka jamani!

    anywe uji mwepesi aweke na pilipili mtama kwa wingi, ilimsaidia dada angu
  12. K

    hodi hodi

    baada ya muda mrefu kuwa "mchunguliaji" wa jf sasa leo nimefanikiwa rasmi kuwa mwanachama. Shukrani kwa uwongozi na member wote!
  13. K

    leo nimefanya kazi.

    nipo muda ila nilikuwa sijafanikisha registration
  14. K

    leo nimefanya kazi.

    no one said
  15. K

    leo nimefanya kazi.

    si ndio vizuri
Back
Top Bottom