Sasa masuala ya mungu kuwatia moto watu nyie mumetoa wap mambo daa mambo ayaa ujue.... ! Ebu rejea swali la mkuu apoo nyuma miaka Nyuma kabla ya Uslam na Ukristo kuja mababu zetu walikuwa hawaabudu
Asante sana mkuu kwa maelezo yako mazuri ya nyongeza ni Kweli kabisa na Mimi nilisimuliwa ivo ivo na watu waliokuwa wakininyesha jengo iloo kiukweli lina historia nzuri sana niliweza hadi kutoa machoz pale nilipoonyesha minyororo ya zamani ambayo walifungiwa watumwa ndani ya jengo hilo kama jela...
Napoleone,
Sasa mkuu sawa mm sio mwarifu wa kusema nijifiche najifichia nn asa soma ukielewa basi usipoelewa pia piga chini sehemu za kihistoria zipo nyingi sana duniani ata iyo BAGAMOYO yako ni ya for tuu usipende kudharau vitu va watu.
Sawa kiongizi niliandika kiufupi tu coz mambo mengine ckuyakumbuka na baadhi ya pcha zilipotea ndo mana ikawa ivo sema sorry wakati mwingine nitajitahid kuelezea vizuri
Nami pia nmezurura kdogo na kupata history ya hapa na pale katika Africa, asante Mungu kwa hicho kidogo ambacho ushanijalia; naamini kabsa wapo wengi ujawabariki kupata story na kuona kwa macho vitu va zamani zaidi.
Fort Jesus Mombasa ni zaidi ya kumbukumbu muhimu zaidi iliyobaki africa na zama...
Nop cna maana iyo ndugu yangu #Kahtaan viongozi wengi wa dini ya kiislamu hasa cjui hawa mashehe mafundisho yao wa ni ya visasi tu Mara utasikia hatupaswi kuishi na MAKAFIRI Mara ngap nisha waskia mashehee wakitoa mawaidha ya kutisha ya kichochezi kwa dini nyingine
Na ukitaka ata ushaidi wa izo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.