Ndugu zangu Waislam kufundisha karate Misikitini lina maana gani hili

Ukiandika hali ya kuwa umeshakunywa Divai ya bwana lzm utavuruga tu.
Hebu nambie wapi Waislamu walienda kuvamia Nchi ya makafiri na kurusha mabomu na kupeleka Wanajeshi na kuua mamilioni ya watoto na wanawake na raia wa kawaida wasiokuwa na Hatia?
Hapa HUTOKUWA NA JIBU.

Sasa nakuuliza tena.
Nchi ngapi za Kiislamu Zilizovamiwa na Mataifa ya KIKRISTO?
Ntakusaidia majibu Kadhaa ili upate wepesi wa Kuendelea..
IRAQ
AFGHANISTAN,
LIBYA,
LEBANON,
SYRIA
PAKISTAN,
Endelea sasa mchungaji kelvinlewis
Nop cna maana iyo ndugu yangu #Kahtaan viongozi wengi wa dini ya kiislamu hasa cjui hawa mashehe mafundisho yao wa ni ya visasi tu Mara utasikia hatupaswi kuishi na MAKAFIRI Mara ngap nisha waskia mashehee wakitoa mawaidha ya kutisha ya kichochezi kwa dini nyingine
Na ukitaka ata ushaidi wa izo clip zipo.

Sasa ao ni wakitanzia tu wenye imani Kali kama izoo na ukizingatia iyo dini kaletewa kutoka mashariki ya kati kaisoma na kuiamini kiasi icho kama kwamba nayeye kasha kunywa damu ya MUHAMMAD

Sasa ao wenyewe wenye din yao ss kwa wasipgwe kutoka na matamshi yao wanayokuwa wakiyatoa kwani wanaongeaga kishujaaa sana kana kwamba amna taiga lolote linaloweza kufanya kitu chochote

Na pia mtu kama SADAM HUSSEN kauwa watu wa ngapi uko IRAQ EEE na uyo GADAFI kauwa watu wangap uko LIBYA EEE au we unaona tu wanaonewa coz ni watu wa dn zako tuache ushabiki wa kidini waislamu sana misimamo mikali sana ata ao viongoz walipgwa kwa sababu na wao wameuwa watu wengi sana wasio na hatia

So waumini wa dini ya kiislam ni watu ambayo wanatkiwa kuwa chini uangalizi mkali coz awachelewi kufa na watu wasio na hatia
 
Umeanza na point nzuri kisha ukamalizia na upuuzi wa ajabu sana.
Nimekuuliza swali umeshindwa kujibu.
Wewe alokwambia Sadam Na Gaddafi wameua watu wengi ni nani zaidi ya hao hao makafiri waliomvamia?
Ulikwenda Libya au Iraq ukakuta watu wameuawa ovyo?
Waafrika tunakuwa km wapumbavu tusio na elimu? We ukiambiwa chochote na mzungu tayari inaamini bila kuuliza.

Sasa baada ya kumuua Sadam na Gaddafi hizo nchi zimetulia na kuwa na amani?

Acha kuwa na akili za kuambiwa.
Jiongeze , do some research, dig deep into different angles.

UISLAMU hata siku moja haujaamrisha CHUKI na Throughout the history waislamu wameishi na Makafiri bila tatizo lolote na ndio maana mpk leo Kina Joseph na Josephine wanafanya kazi na waislamu huko Uarabuni bila tatizo lolote.
Lkn makafiri hawapendi kuona waislamu wanaendelea. Chuki zimewajaa km wana mimba za miezi 12.

That is the whole issue
 
Ulivoandika hapa tu unaonesha una chuki mbaya sana.
 
Na chuki na wasamba unafiki hapa jukwaani.
Tena chuki mbaya sana. Laiti wangekuwa wake zangu ni talaka 50 fasta.
We unasemaje! Mtu mnafiki unampenda?
 
Ukafiri SIO TUSI bali ni Cheo km vile Umeneja au Ukarani.
Na ukitaka kupata cheo hiki basi anza kuabudu sanamu ya mzungu aliyevuliwa nguo au sanamu yyt km huyo Bi Faru hapo juu.
Mnaaminishwa nyie Ni Bora kuliko iman zingine...mnapotea! Mafundisho tumeletewa na wageni haya, vipi mzee unapata wapi ujasiri wa kuona mwenzio hafai anachokiamini ukiwa wewe binafsi pia unafata Imani ambayo huijui vizuri na lengo walilolianzisha? Mungu akusaidie.
 
Wapi nimesema mimi bora kuliko mwingine?
Au umeamua kunikashifu bila sababu.
Nimetoa definition ya KAFIRI na sio vinginevyo.

Soma nilichoandika huenda ukapata faida japo kidogo
 
Imani kitu Cha Hatari pia, unapoamini iman yako Ni Bora zaidi kuliko ya mwingine obvious unakaa humo pia. Mbona wakristo wanawaheshimu na iman yenu, vipi nyie? Acheni kuita watu makafir kisa na sababu hawaamini mnachoamini.
 
Unaendelea kuandika utumbo na uongo bila aibu na wala sina haja ya kuendelea kupoteza muda wangu lkn kabla sijakupuuza nataka nikupe ukweli unaoufahamu lkn unajipofua macho kusudi.

Ulishawahi kusikia MUISLAMU YYT anachoma au kuchanachana BIBLIA ya wakristo hata siku moja?
Sisi waislamu siku zote tunaheshimu Imani za wengine na kamwe hatufanyi unayodai .

Lkn Nyie wafanya ibada za weekend sio kuchana tu QURAAN bali mnaichoma na kuikojolea kabisa.
Yaani chuki zenu utafkiri tumewaolea wake zenu.
Hio ni Laana mwayena. Laana ya Mungu haito waacha mkiendeleza chuki zenu.
 
Na wewe bhana! Kwanini usijiulize Wakina Osama,alkaida,alshabab na bokoharamu wanatoka dini gani? Hio ni njia ya kufikia hayo makundi na ndio kumpigania huyo Mungu wao na akijilipua malipo yao ndio yanakuwa makubwa
 
Ni mila za mashariki na mashariki ya mbali .
Hata China kuna mahekalu ya kufundisha mbinu za kujihami.
Tusiwapangie nini cha kufanya kwa waumini wao.
Mazoezi wanawajenga kiakili ndio maana wanauwezo mkubwa wa kukariri na kushika juzuu 30 kichwani tena kwa lugha nyingine. Ni jambo la kushangaza kidogo.
 
Na wewe bhana! Kwanini usijiulize Wakina Osama,alkaida,alshabab na bokoharamu wanatoka dini gani? Hio ni njia ya kufikia hayo makundi na ndio kumpigania huyo Mungu wao na akijilipua malipo yao ndio yanakuwa makubwa
Unataja majina bila hata kujua maana yake.
We unajua Bokoharamu wanachotaka?
Unajua Al Qaida wanacho pigania?
Jibu utasema UISLAMU.
Manake huna unachojua. Wapi Hao wanaojiita waislamu wametumwa kuteka watu ovyo na kudai pesa? Na km UISLAMU ni kuua ovyo we dada leo ungekuwa hapo unaandika utumbo kwenye hio internet cafe hapo mbagala?

Tatizo la wagalatia elimu inawapa tabu mno kiasi kwamba mnaamua kuropoka bila kutazama maandiko yenu yanasema nini.

Hebu tusome Biblia kidogo tuone UKRISTO unasema nini kuhusu UGAIDI.

Mathayo 10:34

“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga

Hapa anahimiza Vipi UPANGA ni Muhimu kila MKRISTO Awe nao.

Luka 22:36
Akawaambia, “Lakini sasa, aliye na mfuko na auchukue, na aliye na mkoba vivyo hivyo. Naye asiye na UPANGA auze joho lake anunue mmoja.

Na Hapa YESI ANATOA ONYO Kwa YYT atakae KATAA KUMFUATA.

LUKA 19:27-46

27 But those enemies of mine who did not want me to be king over them—bring them here and kill them in front of me.’”

Kiswahili

27. Na sasa, kuhusu hao maadui zangu ambao hawapendi niwe mfalme wao, waleteni hapa, mkawaue papa hapa mbele yangu.’”
28. Yesu alisema hayo, kisha akatangulia mbele yao kuelekea Yerusalemu.

Sasa ANDIKO LAKO linahimiza UGAIDI WAZIWAZI. na Yyt atakaepinga YESU AUWAWE.
Nikuulize. Wakati andiko hilo la KUUA kila Asiekubali UPAKO linasomwa KULIKUWA NA OSAMA au Msikitini ?
 
Unaendelea kuandika utumbo na uongo bila aibu na wala sina haja ya kuendelea kupoteza muda wangu lkn kabla sijakupuuza nataka nikupe ukweli unaoufahamu lkn unajipofua macho kusudi.

Ulishawahi kusikia MUISLAMU YYT anachoma au kuchanachana BIBLIA ya wakristo hata siku moja?
Sisi waislamu siku zote tunaheshimu Imani za wengine na kamwe hatufanyi unayodai .

Lkn Nyie wafanya ibada za weekend sio kuchana tu QURAAN bali mnaichoma na kuikojolea kabisa.
Yaani chuki zenu utafkiri tumewaolea wake zenu.
Hio ni Laana mwayena. Laana ya Mungu haito waacha mkiendeleza chuki zenu.
Ok
 
Kafiri ni binaadamu yyt anaeabudu ASIEKUWA MUNGU MMOJA.
Au yyt mwenye KUKANA SIFA ZA MUNGU.

Kwa hivyo, kumkana MUNGU, kumshirikisha na Viumbe ktk UUNGU WAKE au kuamini kwamba MUNGU ana mtoto, kukana moja ya sifa zake kwa makusudi humpelekea mtu kwenye UKAFIRI. na Kumshirikisha ni ukafiri mkubwa zaidi.

Natumai nimejibu swali lako
Je, kunyang'anya na kumwoa mke wa mwanao ni halali? Huyu aliyefanya hivi naye ni mtume? Kiongozi wa dini kufuga majini ni sifa ya kuwa muumini wa hiyo dini?
 
Unapoleta hoja kama hii lazima uweke na Ushahidi ili watu wenye Elimu wakusaidie jibu.
Ulichoandika hapa ni UONGO na Upuuzi uliosikia mitaani na kwenye mitandao.
Yaani umeandika km ile MPASHO ya waimba taarabu.
Kwanza. Mtume hajawahi kuwa na Mtoto mwenye mke .
Pili. Hakuna Binaadamu mwenye Uwezo wa Kufuga Majini. Sababu majini SIO WANYAMA. (Kamuulize Gwajima anewatoa kila siku kwa jina la Paulo)

Tatu- kila siku wakristo wanapodai wanatoa Pepo huwa ni Pepo za Mvua au?
Umeshawah kusikia Waislamu wanatoa Pepo miskitini?

Na Je unafahamu kuwa YESU aliweka Hao majini kwenye Nguruwe ambao ndio Chakula kikuu cha makafiri?

Siku nyingine unapotaka Kukashifu Waislamu Jaribu Kushirikisha Kichwa. Sio kuropoka ovyo.
Au tayari umelewa damu ya bwana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom