Recent content by kelvin900

  1. kelvin900

    JamiiForums Tanzania Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

    Jaman me nauliza maana ya karma, kwa anayejua anieleweshe.
  2. kelvin900

    JamiiForums Tanzania Mara: Askari watano JKT washikiliwa kwa tuhuma za mauaji

    sasa mbn hao polisi mnaowadharau ndio wanawashikilia wenzenu?
  3. kelvin900

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    1. Vp unakuwa unailipia shngp na kila baada ya mda gn? 2. Vp ikipotea bahat mbaya unapewa adhabu gn?
  4. kelvin900

    JamiiForums Tanzania Bado masaa machache kufungwa dirisha la maombi ajira za Ualimu, hongereni sana wale mtakaojaliwa kupata

    Hatimaye leo usiku sa 2359 dirisha la maombi linafungwa, jamani aminini ya kwamba riziki anapanga Mungu wa Mbinguni, mtakaopata nawapongeza sana pia mtakaokosa msikate tamaa (japo mimi sijui nitakua upande gani) ila nawaombea kwa Mungu wale wote mnaopitia magumu Mungu awasaidieni jamani...
  5. kelvin900

    JamiiForums Tanzania 'Lockdown' yapendekezwa nchini

    asante sana ndugu
  6. kelvin900

    JamiiForums Tanzania 'Lockdown' yapendekezwa nchini

    Naomba nitoe muongozo 1.sitachanjwa 2.barakoa sitavaa kamwe 3.sitajifungia ndan... Hata nikifa kwa korona ni bora kuliko kuwa mtumwa wa mabeberu.
  7. kelvin900

    JamiiForums Tanzania Sipati ajira, sioni faida ya elimu yangu, naona bora kuuza vyeti

    Vp badae wakitumbuliwa? VP
  8. kelvin900

    JamiiForums Tanzania Angekuwa Magufuli kesho tungeamka na Breaking News ya Waziri wa michezo kutumbuliwa

    Nan alimwambia mwananch hvyo na kisa kilikua nin bro?
  9. kelvin900

    JamiiForums Tanzania Maisha bila mganga wa kienyeji hayaendi

    wanasemaga mganga hajigangi
  10. kelvin900

    JamiiForums Tanzania Ngoja niwe muwazi jamani; Maisha yangu ni magumu

    Sina chama ila ni mfuasi wa kiongoz yeyote anayeongoza vyema
  11. kelvin900

    JamiiForums Tanzania Ngoja niwe muwazi jamani; Maisha yangu ni magumu

    bunda mkoan mara
  12. kelvin900

    JamiiForums Tanzania Ngoja niwe muwazi jamani; Maisha yangu ni magumu

    diploma secondary in chem & biosy
Back
Top Bottom