Nathani ndugu, ni vizuri ukatoa hoja yenye tafiti, na sisi tusikie tumesaidika, kuliko kutoa maelezo ambayo hayajitoshelezi, ok vizuri uliposema kwa upeo wako umeona ni kama DECI, umekuwa muwazi kwamba hukuelewa, sasa kama forever ni deci mbona serikali haijaifunga mpaka leo? unafaham FLP...